ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Kwanza nampingeza sana Mrisho Gambo Kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo Jimbo la Arusha.
Pili naunga mkono hoja yake kwamba Wana Arusha sio wapumbavu kiasi Cha kumchagua Lema badala ya Gambo ambae Kwa miaka 5 tuu amelibadilisha Jiji la Arusha na kuwatokomeza Wala Rushwa.
Kila mtu ajiulize watu wa Arusha wanataka Mbunge wa porojo na kutukana hovyo au wanataka Mbunge Shupavu wa kuleta maendeleo?
Miaka 15 ya Ubunge wa Lema Arusha Mjini imekuwa ni miaka ya hasara na maneno na vurugu ila Toka Gambo ameingia Arusha imechangamka,mahoteli yamejaa,stand imeanza kujengwa,Barabara zinajengwa na Jiji limechangamka Kwa Biashara Kem Kem.
Ni ama Lema aamue kuacha siasa au ajikite kwenye kazi yake ya unabii na uzushi kule kwenye kiblog chake Cha Tanzania Leaks.
The likes to Chadema waanze kutafuta maji watakaponyolewa wasije kutafuta visingizio.
Kazi iendelee 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1r6QA6vgMh/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==