Gambo: Wapinzani wamependekeza sheria za Uchaguzi zirekebishwe, tumewapa miswada nasi bungeni tutaipitisha Ili tuwaone 2025 Watalia tena?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa

Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni

Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo

Source: Clouds TV
 
STUPID
 
ccm wote ni ziro minded maana hiyo miswada watapisha yale wanayotaka wao km walivyofanya kwenye mchakato wa katiba mpya
 
Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa

Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni

Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo

Source: Clouds TV
Gambo anaomba huruma ya wana Arusha lakini iwayo yote hawatamwacha salama lazima wamfilimbe!
 
Back
Top Bottom