Huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA, tuwaombee Tundu Lissu, Heche na Benson Kigaila

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,005
142,040
Ikumbukwe kuwa huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kuanzia Primary hadi Taifani.

Tusiache kuwaombea kwa Mungu wa Mbinguni awape wepesi.

Mungu Ibariki CHADEMA.
 
Kwa hiyo Mbowe, Mnyika wasiombewe? Kigaila mkewe ni moja ya wabunge wa Covid 19, kwa hiyo ana uhakika wa hela ya kampeni kutoka kwa mkewe.

Pia mkewe amekuwa akilisha familia ya Benson Kigaila kwa kupitia mshahara wa ubunge, halafu, kinafiki, Kigaila anapanda jukwaani kuwaponda Covid 19
 
Back
Top Bottom