Tujikumbushe Mwaka 2022 Kauli Tatanishi za Rais Samia Suluhu Hassan Kuhusu Bei ya Umeme....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,138

Hapa Rais Samia Suluhu awaambia Wananchi watalipa elfu 27 kuunganishiwa umeme.

Hapa Rais Samia Suluhu hassan abadilisha kauli yake kuhusu kuunganisha Umeme. Mimi huwa siwaamini Wana siasa karibu wote ni wasanii.
 
Anataka SGR ianze kazi mwezi july sijui treni zitatumia umeme gani ujue nilishangaa sana, kama hizi megawati hazitutoshi tukizipereka huko kwenye SGR itakuwaje? Unamegawati chache umeme hautoshi, unatangaza july treni za umeme zianze kazi, unajua unatatizo la upungufu wa umeme, unajua huna chanzo kingine cha umeme, unajua treni za umeme haziwezi kuanza kazi, umetangaza zitaanza kazi, unajua kinachofuata hapo?
 
Kauli za Viongozi wa Kisiasa anapo zungumzia kitu mpigie makofi na ukisha ondoka yaache hapo hapo ulipoyasikia. Kauli zao nyingi Viongozi wa Kisiasa ni kauli za kisanii hazina ukweli kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom