Sheria hii inabainisha muundo, majukumu, utaratibu wa upatikanaji wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na sifa za Mkurugenzi wa Uchaguzi, kuweka utaratibu wa uendeshaji wa vikao vya Tume...
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo...
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa...
Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii...
Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mapambano yamewezesha mh Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal
Mnyika anasema November 2023 alikuwa Nchini Senegal kama sehemu ya Ujumbe kutaka...
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.
Akawapotezea...
Hakika nimeukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2019 na 2020 jinsi Rais magyfuli, CCM tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo uvuruga uchaguzi ule mpaka...
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa...
MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA
Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4
Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga...
Hili taifa linaangamia kwa ujinga, na ina hitajika uwe na akili ya ukichaaa kuamini kwamba Walimu wanao ishi life gumu sana, mishahara haitoshi, hawana posho, ila wao ndio wako mstari wa mbele eti...
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena?
Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa...
Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao.
Serikali isikojirudi na...
Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya...
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa...
Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji
Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.