Ndoa ya serikali ya Samia, CHADEMA na wanaharakati dhidi ya Magufuli sasa imevunjika rasmi

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,

Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.

Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.

Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".

Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.

Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"

Mnafki mpe muda tu

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Kwani lile jamaa Kuna mtu Bado analikumbuka licha ya mauaji lililoyafanya?
 
Nchi ilikuwa inaenda alijono ndugu kipindi Cha like dubwana. Acha iebde vizuri chini ya mama. Huoni wawekezaji wameongezeka? Utalii je? Mahoteli yaliyofungea je? Kwa Sasa Ngurdoto imerudi kwa Kasi na mahotel mengine kibao
 
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,

Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.

Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.

Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".

Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.

Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"

Mnafki mpe muda tu

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Darubini kali!
 
Umeamua kulenga ukweli bila chenga mkuu!
Ubarikiwe kwakuliona hili.
Topic nzuri na bora ya kufungulia mwaka 2024.
 
Back
Top Bottom