Mbowe achunguzwe kushindwa kwa CHADEMA

NANCA

Member
Jun 23, 2023
92
100
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana.

Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela.

Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais.

Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka.

Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA.

Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema.

Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
 
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Kwa taarifa yako hata Mbowe akisema tushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, kama Bado tume ya uchaguzi Inawajibika kwa rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm, hatutakuwa na huo muda mchafu. Kama vipi anzisha chama kikashiriki huo uhayawani uitwao uchaguzi.
 
Ikiwa CDM imeshindwa, basi si ndiyo furaha kwa CCM na vyama vingine dhaifu vya upinzani!? Sasa kuna haja gani ya kumchunguza Mbowe!?

Ikiwa Bunge la JMT na mabaraza ya madiwani yote nchini karibu ya 100% yanahodhiwa na CCM, wewe unafikiri sauti iliyo rasmi na kinzani utaisikia kutoka wapi? Wakati JPM akifanya uhalifu katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020, si mlikuwa mkishangilia ushindi wa kimbunga wa CCM!?

Leo ndiyo unatambua kuwa bila CDM kuingilia kati juu ya dhuluma inaofanywa na CCM dhidi ya wananchi mambo huwa hayaendi eeh! Hivi unaweza kupima kiasi cha jasho, machozi, na damu vilivyoigharimu CDM katika kuwatetea wananchi?

Huyu Mbowe unayesema hivi leo, unajua hasara kiasi gani ameipata katika kuwapigania Watanzania, na nini hasa ambacho wamemlipa kufidia hasara hiyo. Je! Kwa upande wako, ebu fanya tathimini umeshawahi kufanya nini katika jamii yako inayokuzunguka?

Nukuu ifuatayo kutoka kipande cha maneno ya Injili inaweza kuchagiza kile ambacho najaribu kukuelezea ili upate ufahamu;

Luka 6

41. Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?

42. Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako.
 
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.

View: https://www.instagram.com/p/C1wobiPsFpV/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Anza na mamako kumchunguza nyumban kwenu ukimaliza uende kumchunguza mamayenu samia zile hafla za kizimkazi na royal tour.
 
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Umesema yote. Ukweli mchungu
Mkuu hawajalogwa ni ule usemi ‘siasa ni mchezo mchafu’
Hakuna opposition ni stori tu watu wanajineemesha..
Jiulize kwa nini msaidizi ametulia.. yupo standalone ameona bora liende
 
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Mimi naona pandikizi ni lissu kila muda anakimbilia ubelgiji wakati wa matatizo!
 
Bibi wa kizimkazi naye mbona safari za Dubai na Muscat hazikatiki au na yeye ni pandikizi la waarabu ?

Yeye tukaambiwa safari moja kaenda kwa wajomba zake Muscat.
 
Mtoa hoja acha kutegemea upiganiwe wakati wewe umefyata mkia wako, uoga wako wa kizuzu ndio tatizo, blah blah nyingi, ukiambiwa simama ili uhesabiwe unaishia kujikojolea
 
Back
Top Bottom