CHADEMA imejaliwa kuwa na viongozi wenye akili kubwa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Naomba tumsikilize Naibu katibu mkuu bara Mhe. Kigaila.

Anamwaga madini ya uhakika hadi wahusika waandaaji wanatingisha vichwa kukubali hizo nondo.

Hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu ili kuwakomboa Watanzania.
 
VIKAO VYA KAMATI MAALUM ZA BUNGE ZIWE MUBASHARA / LIVE BADALA YA NYUMA YA PAZIA

Maneno mazito maana mkutano huu umeanza kwa kusifia na kutukuza kupita kiasi kama vile kulikuwa hakuna chama au mwanasiasa anayewaza kama zile R4 za CCM.

Baraza hili liende Dodoma kama kundi maalum kwenye Kamati ya Bunge ya Sheria, Mambo ya Nje na Ulinzi ikawape lecture wajumbe wa kamati hiyo maalum ya bunge.

Pia napendekeza shughuli za Kamati zote Maalum za Bunge ziwe zinaendeshwa live raia tuone, maana jukwaa la Kamati Maalum za Bunge ndipo mambo hujadiliwa kwa kina tofauti na kikao cha Bunge ambapo wabunge wanagonga meza kusifu na kuabudu kwa sana.

Hii ya vikao vya Kamati Maalum za Bunge PAC, LAAC, Sheria n.k kuwa live ikaziwe kwa kuwekwa sheria kuwa vikao vyao vya kamati maalum za Bunge ikiwa pamoja na wageni waalikwa wadau virushwe live, ni muhimu wananchi kuona malumbano makali ndani ya kamati hizi maalum badala ya kuoneshwa vikao vya Bunge zima pekee live wakishindana kugonga meza.

Cheki Kamati Maalum ya bunge nchini Uganda wanavyobanana kuhusu muswada wa mafuta
View: https://m.youtube.com/watch?v=VZl1x7HZRmI
MPs on the Natural Resources Committee of Parliament expressed astonishment regarding how such an agreement could be signed before the enactment of a supportive law. A team of government officials, appearing before the committee, informed MPs that the agreement will only become operational once the enabling law is in place.
Kamati Maalum ya Bunge la Kenya kuhusu bima ya afya

View: https://m.youtube.com/watch?v=iolmhfi6_ew
NHIF madudu mfuko wa bima za afya majadiliano ya kina nchini Kenya
 
Mungu anaweza kuwa na kusudio kabisa la kutaka cdm iingie ikulu lkn sheitwaan ccm alatumia vibaraka wake kuhakikisha cdm hawaingii ikulu
nani zaidi kati ya Mungu na sheitwani, kama CDM ni chaguo kweli la Mungu, then, Mungu ataaingiza CDM ikulu, Mungu ndie huweka serikali za mataifa, hivyo yule aliyeko ikulu ndiye chaguo la kweli la Mungu!.
p
 
VIKAO VYA KAMATI MAALUM ZA BUNGE ZIWE MUBASHARA / LIVE BADALA YA NYUMA YA PAZIA

Maneno mazito maana mkutano huu umeanza kwa kusifia na kutukuza kupita kiasi kama vile kulikuwa hakuna chama au mwanasiasa anayewaza kama zile R4 za CCM.

Baraza hili liende Dodoma kama kundi maalum kwenye Kamati ya Bunge ya Sheria, Mambo ya Nje na Ulinzi ikawape lecture wajumbe wa kamati hiyo maalum ya bunge.

Pia napendekeza shughuli za Kamati zote Maalum za Bunge ziwe zinaendeshwa live raia tuone, maana jukwaa la Kamati Maalum za Bunge ndipo mambo hujadiliwa kwa kina tofauti na kikao cha Bunge ambapo wabunge wanagonga meza kusifu na kuabudu kwa sana.

Hii ya vikao vya Kamati Maalum za Bunge PAC, LAAC, Sheria n.k kuwa live ikaziwe kwa kuwekwa sheria kuwa vikao vyao vya kamati maalum za Bunge ikiwa pamoja na wageni waalikwa wadau virushwe live, ni muhimu wananchi kuona malumbano makali ndani ya kamati hizi maalum badala ya kuoneshwa vikao vya Bunge zima pekee live wakishindana kugonga meza
Jamaa yuko vizuri sana
 
Back
Top Bottom