Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Jul 17, 2019
322
645
Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer.

JASIRI
Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa kwa muda mfupi.

Alikuwa kiongozi mahiri, shupavu na mwenye maono. Hivyo hakutaka kukwamishwa.

MZALENDO
Magufuli alikuwa mwana mwema wa Tanzania na Afrika. Alikuwa mzalendo wa kweli ambaye aliamini ipo siku Tanzania itakuwa ni donar Country. Alihamasisha watu kufanya kazi Kwa bidii na maarifa yote, huku akisistiza kuwa asiye fanya kazi na asile.

Alifanya haya ili kusmsha ali ya kufanya kazi. Na mtu yeyote aliyekuwa mvuvi hakuwa rafiki wa Dkt Magufuli. Hakuogopa kumfukuza mtu hadharani anapohisi anamkwamisha. Mdomoni mwake kila aliposimama aliizungumza Tanzania. Uzalendo wake na uchapa kazi wake uliweza kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati.

MWANAMAPINDUZI
Hayati Maguguli alikuwa ni mwanamapinduzi wa fikra. Alikuwa ni kiongozi ambaye aliamini kuwa Tanzania inakila kitu ila kwa muda mrefu ilikosa ujasiri wa kuamua. Miaka mingi hatukuzoe kusikia kiongozi yeyote Afrika anawavimbia Wazungu. Magufuli alikuwa na uwezo wa kuwasema Wazungu hadharani.

Aliamini kuwa Tanzania inaweza kujikomboa kutoka fikira tulizopandikizwa za kutegemea misaada na tukajitegemea. Alipoanza kujenga bwawa la Umeme la Nyerere Mataifa makubwa yalipiga kelele kuwa uhalibifu wa mazingira lakini JPM hakuwasikiliza Kwa kuwa aliamini mapinduzi ya Viwanda yanahitaji zaidi umeme.

Lakini pia alijua Umeme ni bidhaa inayouzika na inaweza kuitengenezea Tanzania fedha nyingi. Hivyo JPM alikuwa Mwanamapinduzi na mwanaharakati wa maendeleo.

MCHAPA KAZI
Uchapakazi wa JPM haukuwa na mawaa. Kuna wakati kitanda chake kilionekana kujaa faili. Sina uhakika kama alikuwa akipata muda wa kupumzika. Alikuwa siku nyingi yupo barabarani kusikiliza na kutatua kero za Wananchi. Aliwachukia watumishi waongo, wavivu na wanaopika data. Uchapa kazi wake ulimfanya kuwa na taarifa nyingi za kila mahali.

Kuna mahali ulikuwa unaweza kudhani ana faili za Watanzania wote. Uchapa kazi wake ndani ya kipindi kifupi Cha uongozi wake alifanikiwa kununua ndege, kununua meli, kujenga barabara, viwanja vya ndege, shule, vituo vya afya na hospital n.k

MTETEZI WA WANYONGE
Magufuli ilikuwa sauti ya Wantonge. Hakutaka kuona chozi la wanyonge linatoka. Hakusubiri kufanya utafiti kama hayo machozi ni ya kweli au si kweli maadam ameambiwa chanzo Cha chozi hili ni mtu flani alifanya maamzi. Aliamini kwenye kutumbua. Kama alidanganywa alikuwa ni mtu wa kuja hadharani kuwa nilidanganywa na kumrudisha mtu kazini.

Ukweli ni kuwa tumbua tumbua ilisaidia sana kuleta nidhamu maofisini. Kila mtu alifanya kazi kwa kumhofia mwenzake. Maofisini hatukuaminiana Kwa kuwa Kila mtu alikuwa usalama wa mwenzake. Tabia ya unanijua Mimi? JPM hakutaka kuisikia. Hii ilisaidia Sana kuwaweka wanyonge mstali mmoja na wale wa unanijua Mimi ni nani?

MKWELI ASIYE YUMBA,
Hayati JPM alikuwa mkweli asiyeyumba.Hakujua kulemba. Hakuchagua wa kumfokea anapokesea. Hata uwe kiongozi mkubwa alikuwa anakusema hadharani ukikosea. Aliwahi kumfokea Waziri wa ujenzi hadharani wakati wa mafuliko ya Morogoro, baadaye yeye mwenyewe JPM alijifuta chozi. Alikuwa na uchungu mkubwa anapoona mambo hayaendi.

Hakutaka mzaha! Wakati wa vurugu za Mtwara na Lindi aliwahi kusema kuwa........hata kama ni shangazi zao. Ukweli huu wa JPM ulimtengenezea maadui hasa wakwapuaji wa Mali za umma, na ulimtengenezea marafiki wengi hasa wa tabaka la chini.

Mwaka 2020 vijana wengi walikuwa wanasema sisi tunaenda kumpigia kura JPM, Wabunge na Madiwani hatuna shida nao. Huyu ndiye JPM ambaye kesho tr 17/3/2022 anatimiza mwaka mmoja tangu afariki.

SHUJAA NA HODARI,
Hayati Magufuli alikuwa Shujaa na hodari. Ushujaa na Uhodali ulikuwa unajidhihilisha kwenye maamzi. Hakutishika wala kuteteleka hata kama anavunja Sheria. Aliamini kuwa wakati mwingine Sheria zinachelewesha.

Alikuwa askari wa mstari wa mbele kutetea Utanzania kuliko mtu yeyote. Hakuogopa rangi ya mtu wala Taifa la mtu. Hakuogopa kusema Hapana au ndiyo. Umahiri wake na Uhodari wake alikuwa anapigiwa mfano kila mahali. Kwa mara ya kwanza alipoenda Afrika kusini kwenye uapisho wa Rais Kila mtu alitamani amuone huyu Simba wa Afrika.

HAKUWA MUUMINI MKUBWA WA DEMOKRASIA,
Hayati Magufuli alikuwa haamini katika demokrasia kubwa. Alikuwa anaamini demokrasia inachelewesha maendeleo. Alikuwa anasema mataifa makubwa yalianza kujenga demokrasia baada ya kujiimalisha kiuchimi. Kwa mtazamo wa hayati JPM ingekuwa ni ridhaa yake ninaamini angefuta mfumo wa vyama vingi.

Hapa ndipo alipojenga uhasama na Wanasiasa wengi. JPM hakupenda kuona mtu anamzuia mbele anapotaka kufanya jambo ndiyo maana hata watu walipohoji kuhusu ndege bado aliendelea kununua tena Kwa cash. Huu nao ni upekee mkubwa aliokuwa nao JPM. Watu kama hawa huzaliwa mara chache sana duniani.

ALIWAAMINI SANA VIJANA, JPM aliwaamini sana vijana kwenye uongozi wake. Aliwaamini vijana bila kujali itikadi ya vyama vyao. Aliamini kuwa Taifa hili litakuwa chini ya vijana Kwa muda mrefu, hivyo aliamini kuwapa vijana nafasi Kwa kuwa wananguvu nyingi. Wote aliowaamini aliwaambia fanyeni maamzi. Alisistiza bora kufanya maamzi ukakosea kuliko kutofanya maamzi.

ALIKUWA ANACHUKIA RUSHWA,
JPM alikuwa anachukia rushwa Kwa vitendo. Ili kutokomeza hili aliamua kuanzisha mahakama ya Rushwa ambayo ipo Mawasiliano Dar es salaam.

HUYU NDIYE JPM, MWANA MWEMA WA AFRIKA, MTETEZI WA WANYONGE NA SHUJAA. VITA ALIVIPIGANA, MWENDO ALIUMALIZA. R.I.P
 
Ndugu yangu naona umeandika hadithi tu hii ni hatari kwa vijana ambao hawajawahi kushuhudia uongozi wake maana mengi uliyoandika yametokana na hisia zako zaidi ya uhalisia
 
Jiwe alikufa kwanza lile lilio kuwa linafanya kazi lilikuwa jini mbadala pale chato mmezika gomba tu!!...uchapakazi wake sasa hivi anafanyishwa kazi km sokoine!...ila sokoine kwa sasa kazeeka mno!
 
MAMBO 10 KUELEKEA MWAKA MMOJA BILA JPM/ Bulldozer.

Na Elius Ndabila
0768239284

1:JASIRI, Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa kwa muda mfupi. Alikuwa kiongozi mahiri, shupavu na mwenye maono. Hivyo hakutaka kukwamishwa.

2: MZALENDO, Magufuli alikuwa mwana mwema wa Tanzania na Afrika. Alikuwa mzalendo wa kweli ambaye aliamini ipo siku Tanzania itakuwa ni donar Country. Alihamasisha watu kufanya kazi Kwa bidii na maarifa yote, huku akisistiza kuwa asiye fanya kazi na asile. Alifanya haya ili kusmsha ali ya kufanya kazi. Na mtu yeyote aliyekuwa mvuvi hakuwa rafiki wa Dkt Magufuli. Hakuogopa kumfukuza mtu hadharani anapohisi anamkwamisha. Mdomoni mwake kila aliposimama aliizungumza Tanzania. Uzalendo wake na uchapa kazi wake uliweza kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati.

3:MWANAMAPINDUZI, Hayati Maguguli alikuwa ni mwanamapinduzi wa fikra. Alikuwa ni kiongozi ambaye aliamini kuwa Tanzania inakila kitu ila kwa muda mrefu ilikosa ujasiri wa kuamua. Miaka mingi hatukuzoe kusikia kiongozi yeyote Afrika anawavimbia Wazungu. Magufuli alikuwa na uwezo wa kuwasema Wazungu hadharani. Aliamini kuwa Tanzania inaweza kujikomboa kutoka fikira tulizopandikizwa za kutegemea misaada na tukajitegemea. Alipoanza kujenga bwawa la Umeme la Nyerere Mataifa makubwa yalipiga kelele kuwa uhalibifu wa mazingira lakini JPM hakuwasikiliza Kwa kuwa aliamini mapinduzi ya Viwanda yanahitaji zaidi umeme. Lakini pia alijua Umeme ni bidhaa inayouzika na inaweza kuitengenezea Tanzania fedha nyingi. Hivyo JPM alikuwa Mwanamapinduzi na mwanaharakati wa maendeleo.

4:MCHAPA KAZI, Uchapakazi wa JPM haukuwa na mawaa. Kuna wakati kitanda chake kilionekana kujaa faili. Sina uhakika kama alikuwa akipata muda wa kupumzika. Alikuwa siku nyingi yupo barabarani kusikiliza na kutatua kero za Wananchi. Aliwachukia watumishi waongo, wavivu na wanaopika data. Uchapa kazi wake ulimfanya kuwa na taarifa nyingi za kila mahali. Kuna mahali ulikuwa unaweza kudhani ana faili za Watanzania wote. Uchapa kazi wake ndani ya kipindi kifupi Cha uongozi wake alifanikiwa kununua ndege, kununua meli, kujenga barabara, viwanja vya ndege, shule, vituo vya afya na hospital n.k

5:MTETEZI WA WANYONGE, Magufuli ilikuwa sauti ya Wantonge. Hakutaka kuona chozi la wanyonge linatoka. Hakusubiri kufanya utafiti kama hayo machozi ni ya kweli au si kweli maadam ameambiwa chanzo Cha chozi hili ni mtu flani alifanya maamzi. Aliamini kwenye kutumbua. Kama alidanganywa alikuwa ni mtu wa kuja hadharani kuwa nilidanganywa na kumrudisha mtu kazini. Ukweli ni kuwa tumbua tumbua ilisaidia sana kuleta nidhamu maofisini. Kila mtu alifanya kazi kwa kumhofia mwenzake. Maofisini hatukuaminiana Kwa kuwa Kila mtu alikuwa usalama wa mwenzake. Tabia ya unanijua Mimi? JPM hakutaka kuisikia. Hii ilisaidia Sana kuwaweka wanyonge mstali mmoja na wale wa unanijua Mimi ni nani?

6:MKWELI ASIYE YUMBA, Hayati JPM alikuwa mkweli asiyeyumba.Hakujua kulemba. Hakuchagua wa kumfokea anapokesea. Hata uwe kiongozi mkubwa alikuwa anakusema hadharani ukikosea. Aliwahi kumfokea Waziri wa ujenzi hadharani wakati wa mafuliko ya Morogoro, baadaye yeye mwenyewe JPM alijifuta chozi. Alikuwa na uchungu mkubwa anapoona mambo hayaendi. Hakutaka mzaha! Wakati wa vurugu za Mtwara na Lindi aliwahi kusema kuwa........hata kama ni shangazi zao. Ukweli huu wa JPM ulimtengenezea maadui hasa wakwapuaji wa Mali za umma, na ulimtengenezea marafiki wengi hasa wa tabaka la chini. Mwaka 2020 vijana wengi walikuwa wanasema sisi tunaenda kumpigia kura JPM, Wabunge na Madiwani hatuna shida nao. Huyu ndiye JPM ambaye kesho tr 17/3/2022 anatimiza mwaka mmoja tangu afariki.

7:SHUJA NA HODARI, Hayati Magufuli alikuwa Shujaa na hodari. Ushujaa na Uhodali ulikuwa unajidhihilisha kwenye maamzi. Hakutishika wala kuteteleka hata kama anavunja Sheria. Aliamini kuwa wakati mwingine Sheria zinachelewesha. Alikuwa askari wa mstari wa mbele kutetea Utanzania kuliko mtu yeyote. Hakuogopa rangi ya mtu wala Taifa la mtu. Hakuogopa kusema Hapana au ndiyo. Umahiri wake na Uhodari wake alikuwa anapigiwa mfano kila mahali. Kwa mara ya kwanza alipoenda Afrika kusini kwenye uapisho wa Rais Kila mtu alitamani amuone huyu Simba wa Afrika.

8: HAKUWA MUUMINI MKUBWA WA DEMOKRASIA, Hayati Magufuli alikuwa haamini katika demokrasia kubwa. Alikuwa anaamini demokrasia inachelewesha maendeleo. Alikuwa anasema mataifa makubwa yalianza kujenga demokrasia baada ya kujiimalisha kiuchimi. Kwa mtazamo wa hayati JPM ingekuwa ni ridhaa yake ninaamini angefuta mfumo wa vyama vingi. Hapa ndipo alipojenga uhasama na Wanasiasa wengi. JPM hakupenda kuona mtu anamzuia mbele anapotaka kufanya jambo ndiyo maana hata watu walipohoji kuhusu ndege bado aliendelea kununua tena Kwa cash. Huu nao ni upekee mkubwa aliokuwa nao JPM. Watu kama hawa huzaliwa mara chache sana duniani.

9: ALIWAAMINI SANA VIJANA, JPM aliwaamini sana vijana kwenye uongozi wake. Aliwaamini vijana bila kujali itikadi ya vyama vyao. Aliamini kuwa Taifa hili litakuwa chini ya vijana Kwa muda mrefu, hivyo aliamini kuwapa vijana nafasi Kwa kuwa wananguvu nyingi. Wote aliowaamini aliwaambia fanyeni maamzi. Alisistiza bora kufanya maamzi ukakosea kuliko kutofanya maamzi.

10: ALIKUWA ANACHUKIA RUSHWA, JPM alikuwa anachukia rushwa Kwa vitendo. Ili kutokomeza hili aliamua kuanzisha mahakama ya Rushwa ambayo ipo Mawasiliano Dar es salaam.

HUYU NDIYE JPM, MWANA MWEMA WA AFRIKA, MTETEZI WA WANYONGE NA SHUJAA. VITA ALIVIPIGANA, MWENDO ALIUMALIZA. R.I.P
Mwacheni apumzike,

Alisema bila yeye atakayekuja hataweza,ila naona kinakata maji chini ya mama

Wasiojulikana wamekufa naye hawapo tena
 
JPM will remain best of the best president we have had in our generation.

Kuna watu walikwazwa na utendaji wa JPM na majeraha yao wanayaendeleza kwa kuonyesha maandishi na matamshi ya chuki, kejeli na kebehi. Kuna wakati unamwelewa mtu hata kama hukubaliani nae... wengi ni watani zangu wachagga pia wabadhirifu wachuma wasipo panda, majizi na wafanyabiashara za madili.

Mtu kama Bakharesa, Dewji, Gachuma and alike hawakuwahi kulialia kwa kuwa walijitahidi kufanya biashara halali, mtu kama Rostam aliekubali kushirikiana na awamu ya 5 walipata support ya hali ya juu toka kwa serikali.

Mwamba tutamkumbuka sana tuliopenda maendeleo ya kweli ya nchi (maslahi ya umma) ila kumbukizi hii ni chukizo kwa wahalifu waliokutana na mkono wa JPM.

RIP Mwana wa Afrika.
 
Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer.

JASIRI
Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa kwa muda mfupi.

Alikuwa kiongozi mahiri, shupavu na mwenye maono. Hivyo hakutaka kukwamishwa.

MZALENDO
Magufuli alikuwa mwana mwema wa Tanzania na Afrika. Alikuwa mzalendo wa kweli ambaye aliamini ipo siku Tanzania itakuwa ni donar Country. Alihamasisha watu kufanya kazi Kwa bidii na maarifa yote, huku akisistiza kuwa asiye fanya kazi na asile.

Alifanya haya ili kusmsha ali ya kufanya kazi. Na mtu yeyote aliyekuwa mvuvi hakuwa rafiki wa Dkt Magufuli. Hakuogopa kumfukuza mtu hadharani anapohisi anamkwamisha. Mdomoni mwake kila aliposimama aliizungumza Tanzania. Uzalendo wake na uchapa kazi wake uliweza kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati.

MWANAMAPINDUZI
Hayati Maguguli alikuwa ni mwanamapinduzi wa fikra. Alikuwa ni kiongozi ambaye aliamini kuwa Tanzania inakila kitu ila kwa muda mrefu ilikosa ujasiri wa kuamua. Miaka mingi hatukuzoe kusikia kiongozi yeyote Afrika anawavimbia Wazungu. Magufuli alikuwa na uwezo wa kuwasema Wazungu hadharani.

Aliamini kuwa Tanzania inaweza kujikomboa kutoka fikira tulizopandikizwa za kutegemea misaada na tukajitegemea. Alipoanza kujenga bwawa la Umeme la Nyerere Mataifa makubwa yalipiga kelele kuwa uhalibifu wa mazingira lakini JPM hakuwasikiliza Kwa kuwa aliamini mapinduzi ya Viwanda yanahitaji zaidi umeme.

Lakini pia alijua Umeme ni bidhaa inayouzika na inaweza kuitengenezea Tanzania fedha nyingi. Hivyo JPM alikuwa Mwanamapinduzi na mwanaharakati wa maendeleo.

MCHAPA KAZI
Uchapakazi wa JPM haukuwa na mawaa. Kuna wakati kitanda chake kilionekana kujaa faili. Sina uhakika kama alikuwa akipata muda wa kupumzika. Alikuwa siku nyingi yupo barabarani kusikiliza na kutatua kero za Wananchi. Aliwachukia watumishi waongo, wavivu na wanaopika data. Uchapa kazi wake ulimfanya kuwa na taarifa nyingi za kila mahali.

Kuna mahali ulikuwa unaweza kudhani ana faili za Watanzania wote. Uchapa kazi wake ndani ya kipindi kifupi Cha uongozi wake alifanikiwa kununua ndege, kununua meli, kujenga barabara, viwanja vya ndege, shule, vituo vya afya na hospital n.k

MTETEZI WA WANYONGE
Magufuli ilikuwa sauti ya Wantonge. Hakutaka kuona chozi la wanyonge linatoka. Hakusubiri kufanya utafiti kama hayo machozi ni ya kweli au si kweli maadam ameambiwa chanzo Cha chozi hili ni mtu flani alifanya maamzi. Aliamini kwenye kutumbua. Kama alidanganywa alikuwa ni mtu wa kuja hadharani kuwa nilidanganywa na kumrudisha mtu kazini.

Ukweli ni kuwa tumbua tumbua ilisaidia sana kuleta nidhamu maofisini. Kila mtu alifanya kazi kwa kumhofia mwenzake. Maofisini hatukuaminiana Kwa kuwa Kila mtu alikuwa usalama wa mwenzake. Tabia ya unanijua Mimi? JPM hakutaka kuisikia. Hii ilisaidia Sana kuwaweka wanyonge mstali mmoja na wale wa unanijua Mimi ni nani?

MKWELI ASIYE YUMBA,
Hayati JPM alikuwa mkweli asiyeyumba.Hakujua kulemba. Hakuchagua wa kumfokea anapokesea. Hata uwe kiongozi mkubwa alikuwa anakusema hadharani ukikosea. Aliwahi kumfokea Waziri wa ujenzi hadharani wakati wa mafuliko ya Morogoro, baadaye yeye mwenyewe JPM alijifuta chozi. Alikuwa na uchungu mkubwa anapoona mambo hayaendi.

Hakutaka mzaha! Wakati wa vurugu za Mtwara na Lindi aliwahi kusema kuwa........hata kama ni shangazi zao. Ukweli huu wa JPM ulimtengenezea maadui hasa wakwapuaji wa Mali za umma, na ulimtengenezea marafiki wengi hasa wa tabaka la chini.

Mwaka 2020 vijana wengi walikuwa wanasema sisi tunaenda kumpigia kura JPM, Wabunge na Madiwani hatuna shida nao. Huyu ndiye JPM ambaye kesho tr 17/3/2022 anatimiza mwaka mmoja tangu afariki.

SHUJAA NA HODARI,
Hayati Magufuli alikuwa Shujaa na hodari. Ushujaa na Uhodali ulikuwa unajidhihilisha kwenye maamzi. Hakutishika wala kuteteleka hata kama anavunja Sheria. Aliamini kuwa wakati mwingine Sheria zinachelewesha.

Alikuwa askari wa mstari wa mbele kutetea Utanzania kuliko mtu yeyote. Hakuogopa rangi ya mtu wala Taifa la mtu. Hakuogopa kusema Hapana au ndiyo. Umahiri wake na Uhodari wake alikuwa anapigiwa mfano kila mahali. Kwa mara ya kwanza alipoenda Afrika kusini kwenye uapisho wa Rais Kila mtu alitamani amuone huyu Simba wa Afrika.

HAKUWA MUUMINI MKUBWA WA DEMOKRASIA,
Hayati Magufuli alikuwa haamini katika demokrasia kubwa. Alikuwa anaamini demokrasia inachelewesha maendeleo. Alikuwa anasema mataifa makubwa yalianza kujenga demokrasia baada ya kujiimalisha kiuchimi. Kwa mtazamo wa hayati JPM ingekuwa ni ridhaa yake ninaamini angefuta mfumo wa vyama vingi.

Hapa ndipo alipojenga uhasama na Wanasiasa wengi. JPM hakupenda kuona mtu anamzuia mbele anapotaka kufanya jambo ndiyo maana hata watu walipohoji kuhusu ndege bado aliendelea kununua tena Kwa cash. Huu nao ni upekee mkubwa aliokuwa nao JPM. Watu kama hawa huzaliwa mara chache sana duniani.

ALIWAAMINI SANA VIJANA, JPM aliwaamini sana vijana kwenye uongozi wake. Aliwaamini vijana bila kujali itikadi ya vyama vyao. Aliamini kuwa Taifa hili litakuwa chini ya vijana Kwa muda mrefu, hivyo aliamini kuwapa vijana nafasi Kwa kuwa wananguvu nyingi. Wote aliowaamini aliwaambia fanyeni maamzi. Alisistiza bora kufanya maamzi ukakosea kuliko kutofanya maamzi.

ALIKUWA ANACHUKIA RUSHWA,
JPM alikuwa anachukia rushwa Kwa vitendo. Ili kutokomeza hili aliamua kuanzisha mahakama ya Rushwa ambayo ipo Mawasiliano Dar es salaam.

HUYU NDIYE JPM, MWANA MWEMA WA AFRIKA, MTETEZI WA WANYONGE NA SHUJAA. VITA ALIVIPIGANA, MWENDO ALIUMALIZA. R.I.P
Umemtendea haki, binafsi naamini maeneo ambayo hakufanya vizuri ni upande wa Demokrasia na pia biashara. Handling ya business kikodi iliharibu sana mfumo wa biashara. Ilihitajika nguvu kidogo akili nyingi kukusanya kodi. Kama angekuwa na upeo kidogo au exposure upande wa biashara angefanya vyema sana.

Mfano Energy sector pamoja na kuleta sustainability lakini PPP ilikuwa inakufa na matokeo yake tungeona baadae sana. Kuwapangia bei wazalishaji umeme bila majadiliano ya kina imeharibu mno.

Otherwise still ndio Rais ninae amini angetufikisha mbali kama angejirekebisha maeneo hayo. Pia kutokuamini kwenye Demokrasia ni mtizamo au msimamo ambao hata chama chake unaamini Kikatiba lakini si kivitendo! Angefanya kama watangulizi wake tu badala ya nguvu kubwa aliyotumia kuzima wanaompinga.
 
Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer.

JASIRI
Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa kwa muda mfupi.

Alikuwa kiongozi mahiri, shupavu na mwenye maono. Hivyo hakutaka kukwamishwa.

MZALENDO
Magufuli alikuwa mwana mwema wa Tanzania na Afrika. Alikuwa mzalendo wa kweli ambaye aliamini ipo siku Tanzania itakuwa ni donar Country. Alihamasisha watu kufanya kazi Kwa bidii na maarifa yote, huku akisistiza kuwa asiye fanya kazi na asile.

Alifanya haya ili kusmsha ali ya kufanya kazi. Na mtu yeyote aliyekuwa mvuvi hakuwa rafiki wa Dkt Magufuli. Hakuogopa kumfukuza mtu hadharani anapohisi anamkwamisha. Mdomoni mwake kila aliposimama aliizungumza Tanzania. Uzalendo wake na uchapa kazi wake uliweza kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati.

MWANAMAPINDUZI
Hayati Maguguli alikuwa ni mwanamapinduzi wa fikra. Alikuwa ni kiongozi ambaye aliamini kuwa Tanzania inakila kitu ila kwa muda mrefu ilikosa ujasiri wa kuamua. Miaka mingi hatukuzoe kusikia kiongozi yeyote Afrika anawavimbia Wazungu. Magufuli alikuwa na uwezo wa kuwasema Wazungu hadharani.

Aliamini kuwa Tanzania inaweza kujikomboa kutoka fikira tulizopandikizwa za kutegemea misaada na tukajitegemea. Alipoanza kujenga bwawa la Umeme la Nyerere Mataifa makubwa yalipiga kelele kuwa uhalibifu wa mazingira lakini JPM hakuwasikiliza Kwa kuwa aliamini mapinduzi ya Viwanda yanahitaji zaidi umeme.

Lakini pia alijua Umeme ni bidhaa inayouzika na inaweza kuitengenezea Tanzania fedha nyingi. Hivyo JPM alikuwa Mwanamapinduzi na mwanaharakati wa maendeleo.

MCHAPA KAZI
Uchapakazi wa JPM haukuwa na mawaa. Kuna wakati kitanda chake kilionekana kujaa faili. Sina uhakika kama alikuwa akipata muda wa kupumzika. Alikuwa siku nyingi yupo barabarani kusikiliza na kutatua kero za Wananchi. Aliwachukia watumishi waongo, wavivu na wanaopika data. Uchapa kazi wake ulimfanya kuwa na taarifa nyingi za kila mahali.

Kuna mahali ulikuwa unaweza kudhani ana faili za Watanzania wote. Uchapa kazi wake ndani ya kipindi kifupi Cha uongozi wake alifanikiwa kununua ndege, kununua meli, kujenga barabara, viwanja vya ndege, shule, vituo vya afya na hospital n.k

MTETEZI WA WANYONGE
Magufuli ilikuwa sauti ya Wantonge. Hakutaka kuona chozi la wanyonge linatoka. Hakusubiri kufanya utafiti kama hayo machozi ni ya kweli au si kweli maadam ameambiwa chanzo Cha chozi hili ni mtu flani alifanya maamzi. Aliamini kwenye kutumbua. Kama alidanganywa alikuwa ni mtu wa kuja hadharani kuwa nilidanganywa na kumrudisha mtu kazini.

Ukweli ni kuwa tumbua tumbua ilisaidia sana kuleta nidhamu maofisini. Kila mtu alifanya kazi kwa kumhofia mwenzake. Maofisini hatukuaminiana Kwa kuwa Kila mtu alikuwa usalama wa mwenzake. Tabia ya unanijua Mimi? JPM hakutaka kuisikia. Hii ilisaidia Sana kuwaweka wanyonge mstali mmoja na wale wa unanijua Mimi ni nani?

MKWELI ASIYE YUMBA,
Hayati JPM alikuwa mkweli asiyeyumba.Hakujua kulemba. Hakuchagua wa kumfokea anapokesea. Hata uwe kiongozi mkubwa alikuwa anakusema hadharani ukikosea. Aliwahi kumfokea Waziri wa ujenzi hadharani wakati wa mafuliko ya Morogoro, baadaye yeye mwenyewe JPM alijifuta chozi. Alikuwa na uchungu mkubwa anapoona mambo hayaendi.

Hakutaka mzaha! Wakati wa vurugu za Mtwara na Lindi aliwahi kusema kuwa........hata kama ni shangazi zao. Ukweli huu wa JPM ulimtengenezea maadui hasa wakwapuaji wa Mali za umma, na ulimtengenezea marafiki wengi hasa wa tabaka la chini.

Mwaka 2020 vijana wengi walikuwa wanasema sisi tunaenda kumpigia kura JPM, Wabunge na Madiwani hatuna shida nao. Huyu ndiye JPM ambaye kesho tr 17/3/2022 anatimiza mwaka mmoja tangu afariki.

SHUJAA NA HODARI,
Hayati Magufuli alikuwa Shujaa na hodari. Ushujaa na Uhodali ulikuwa unajidhihilisha kwenye maamzi. Hakutishika wala kuteteleka hata kama anavunja Sheria. Aliamini kuwa wakati mwingine Sheria zinachelewesha.

Alikuwa askari wa mstari wa mbele kutetea Utanzania kuliko mtu yeyote. Hakuogopa rangi ya mtu wala Taifa la mtu. Hakuogopa kusema Hapana au ndiyo. Umahiri wake na Uhodari wake alikuwa anapigiwa mfano kila mahali. Kwa mara ya kwanza alipoenda Afrika kusini kwenye uapisho wa Rais Kila mtu alitamani amuone huyu Simba wa Afrika.

HAKUWA MUUMINI MKUBWA WA DEMOKRASIA,
Hayati Magufuli alikuwa haamini katika demokrasia kubwa. Alikuwa anaamini demokrasia inachelewesha maendeleo. Alikuwa anasema mataifa makubwa yalianza kujenga demokrasia baada ya kujiimalisha kiuchimi. Kwa mtazamo wa hayati JPM ingekuwa ni ridhaa yake ninaamini angefuta mfumo wa vyama vingi.

Hapa ndipo alipojenga uhasama na Wanasiasa wengi. JPM hakupenda kuona mtu anamzuia mbele anapotaka kufanya jambo ndiyo maana hata watu walipohoji kuhusu ndege bado aliendelea kununua tena Kwa cash. Huu nao ni upekee mkubwa aliokuwa nao JPM. Watu kama hawa huzaliwa mara chache sana duniani.

ALIWAAMINI SANA VIJANA, JPM aliwaamini sana vijana kwenye uongozi wake. Aliwaamini vijana bila kujali itikadi ya vyama vyao. Aliamini kuwa Taifa hili litakuwa chini ya vijana Kwa muda mrefu, hivyo aliamini kuwapa vijana nafasi Kwa kuwa wananguvu nyingi. Wote aliowaamini aliwaambia fanyeni maamzi. Alisistiza bora kufanya maamzi ukakosea kuliko kutofanya maamzi.

ALIKUWA ANACHUKIA RUSHWA,
JPM alikuwa anachukia rushwa Kwa vitendo. Ili kutokomeza hili aliamua kuanzisha mahakama ya Rushwa ambayo ipo Mawasiliano Dar es salaam.

HUYU NDIYE JPM, MWANA MWEMA WA AFRIKA, MTETEZI WA WANYONGE NA SHUJAA. VITA ALIVIPIGANA, MWENDO ALIUMALIZA. R.I.P
Rest in Power Hero
 
Huo ni mtizamo wako wewe na kundi Fulani lawapumbavu wenzio.ambao mpaka Leo hamuamini kua yule roho mbaya,kakufa.
 
Back
Top Bottom