Hii ndio sifa kuu ndani ya ccm hili uonekani unafaa

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Kwanza ujitoe akili, nyeusi useme nyekundu, pili uonekane unaipenda ccm kuliko wazee wako walio kuzaa, tatu hue tayari kugombana na yoyote hata kama atakua ndugu yako kama atasema mabaya ya ccm, hayo ni baadhi ya mambo muhimu mtu wa ccm kua nayo kama huna sifa hizo moja wapo basi wewe una vigezo vyakua ccm
 
Back
Top Bottom