Dodoma : Hivi ndivyo BAVICHA walivyoingia Bungeni kutoa maoni yao kuhusu muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,246
Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .

Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe nyingi , kiasi cha Wananchi kusahau kwa muda dhiki za Tanzania na kushangilia sana Chadema iliyoongozwa na Twaha Mwaipaya

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa

Screenshot_2024-01-06-12-50-56-1.png
Screenshot_2024-01-06-12-50-56-2.png
 
Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .

Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe nyingi , kiasi cha Wananchi kusahau kwa muda dhiki za Tanzania na kushangilia sana Chadema iliyoongozwa na Twaha Mwaipaya

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa

View attachment 2863795View attachment 2863797
Big up.
 
Kwa mshangao mkubwa sana mjadala kuhusu tume huru ya uchaguzi umeigharimu nchi yetu muda mrefu na mabilioni ya fedha tangu enzi za tume ya Jaji Warioba zaidi ya miaka mitano iliyopita.
Nchi zote za kidemokrasia duniani hata mataifa jirani zetu wanazo tume huru za uchaguzi. Wenzetu Kenya wameenda hatua kubwa zaidi kwa tume hizi kuweka hata mipaka ya majimbo ya uchaguzi.
Utaratibu wa kiongozi wa nchi kuwa ndiye mamlaka pekee ya uteuzi wa kamati za uchaguzi bila mchujo umebaki north korea na pengine tanzania pekee.
Inasikitisha kuona mpk sasa nchi bado yasubiri utashi wa kiongozi wa nchi ili kupata tume huru ya uchagizi. Lets hope jambo hili litahitimishwa mapema kwa salama.
 
Tunataka kukomesha uchafu huo
 
Lets hope jambo hili litahitimishwa mapema kwa salama.
Haya maandamano ya Bavicha ni turufu kwa ccm kwa wahisani wao. CCM itasema nchi hii ina demokrasia ndiyo maana Bavicha wameruhusiwa kuandamana na kuleta maoni yao.

Mm nadhani tusifurahie hivi Sasa. Bali tufurahie tutakapoona maoni yao yamefanyiwa kazi.

Japo mm naamini tume huru inapatikana baada ya kuchapana na kuuana.
 
Yule mzee wa jazba,Mwenyekiti wa wazee wa Chadema kutoka Zanzibar msimsahau na pumba zake.Hajui hata mada zilizopo.
 
Jumuia hiyo ina watu makini sana,kama akina Martin Maranja Masese.Kila la heri kwao.
 
Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .

Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe nyingi , kiasi cha Wananchi kusahau kwa muda dhiki za Tanzania na kushangilia sana Chadema iliyoongozwa na Twaha Mwaipaya

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa

View attachment 2863795View attachment 2863797
Ruzuku hiyo
 
Back
Top Bottom