Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja
Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia...
Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.
Hadi sasa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Kanisa...
Ngara
Januari 10, 2024
TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara.
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia...
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini amekutana na Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Nishati (International Energy Agency - IEA) Bw. Faith Birol, tarehe 10...
Tokea dunia iumbwe hapajawahi kuwa na ombaomba kwenye nchi yeyote duniani aliye wahi kuwa tajiri! Mbaya zaidi hata unachomba omba unakitumia kwenye vitu visivyoingiza fedha!
Ili awe tajiri lazima...
Taarifa Kwa Umma Juu ya Wanafunzi Waliopo Chuo Cha Mafunzo Waliopata Msamaha Katika Kuadhimisha Sherehe za Miaka Sitini (60) ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tarehe 12 Januari, 2024.
Huu ndo ukweli!
Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani.
Ni wakati sasa nafasi za watendaji...
USHINDI WA RAIS SAMIA 2025 NI ASILIMIA 95.
Tanzania tumezoea Siasa za Ushawishi kufanya siasa bila ya ugumu wa kuhasimia au kugawana hizi ndiyo siasa tunazozitaka. Mawazo tofauti si chuki si...
Nadhani Meya ajitathmini kama ana uwezo wa kuisimamia halmashauri ya Jiji kama madudu yote yanafanyika mbele ya macho yake.
Inafikia mpaka Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mawaziri wanaingilia...
https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ
Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho...
Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina mpango mzuri wa kujenga majengo ya kisasa ya Maonesho ya Biashara na kuwa kivutio kikubwa...
Sisi wapiga kura wa Mwandiga tulisha umwa na nyoka sasa tunaogopa hata mjusi.
Kuna harakati hapa Mwandiga za kuhakikisha mbunge wa zamani ZZK anarudi kugombea jimboni hapa.
Lkn kwa taarifa yake...
Hayo ndio mapito waliyopitia Chadema awamu iliyopita
Tulishuhudia Kikundi cha wabunge na Madiwani waliounga mkono Juhudi, tulishuhudia akina Sugu walifungiwa Jela lakini zaidi tulishuhudia...
Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama.
Wote tunakumbuka...
Na Zitto Kabwe
"Mheshimiwa Spika, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ya kuchangia hotuba ya Wizara hii ambayo ni muhimu sana na ni moja ya Wizara ambazo ni andamizi katika uendeshaji wa...
Mbunge wa Kahama Jummane Kishimba amekemea tabia ya Viongozi kuja na maji ya dukani kuzindua miradi ya maji ya Wananchi akisema huo ni ubaguzi.
Bwana Kishimba amesema Ili Wananchi Wawe na Imani...
Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .
Kanisa hilo limewakilishwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa...
Ujumbe kuntu huu ππππ
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, bali ni mfuko wa kuchangiana ili mmoja atakapoumwa aweze kupatiwa...