Ni kweli UVCCM Wanatumia zaidi Nguvu kuliko Akili wakati wa Kujenga Hoja, hapo ndipo wanapozidiwa na Bavicha na yule Nondo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,028
Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja

Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia amelisemea tena

Niwakumbushe tu UVCCM zama za Maguvu zimepitwa na wakati ndio unaona Mgambo Wachache sana wa Hamas wameisumbua Dunia hadi Baba la Miguvu USA anaomba poo

Jifunzeni kujenga Hoja zenye mashiko zinazosindikizwa na Takwimu kama ilivyokuwa inafanya Bavicha ya Zitto Kabwe na Mnyika hadi ikapendwa Dunia nzima

Mungu wa Mbinguni wafanyie Wepesi UVCCM
 
Kutumia nguvu maana yake nini?

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja

Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia amelisemea tena

Niwakumbushe tu UVCCM zama za Maguvu zimepitwa na wakati ndio unaona Mgambo Wachache sana wa Hamas wameisumbua Dunia hadi Baba la Miguvu USA anaomba poo

Jifunzeni kujenga Hoja zenye mashiko zinazosindikizwa na Takwimu kama ilivyokuwa inafanya Bavicha ya Zitto Kabwe na Mnyika hadi ikapendwa Dunia nzima

Mungu wa Mbinguni wafanyie Wepesi UVCCM
Siku zote binadamu hutumia kile alicho nacho. Vijana wengi waliopo CCM ni wale ambao wana uwezo mdogo wa akili na maarifa. Wanaingia UVCCM kama jitihada ya kuziba mapengo ya michwani. Muwataka wafanye zaidi ya wanavyofanya ni kuwaonea, ni sawa na kumtaka konokono aruke hewani.
 
Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja

Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia amelisemea tena

Niwakumbushe tu UVCCM zama za Maguvu zimepitwa na wakati ndio unaona Mgambo Wachache sana wa Hamas wameisumbua Dunia hadi Baba la Miguvu USA anaomba poo

Jifunzeni kujenga Hoja zenye mashiko zinazosindikizwa na Takwimu kama ilivyokuwa inafanya Bavicha ya Zitto Kabwe na Mnyika hadi ikapendwa Dunia nzima

Mungu wa Mbinguni wafanyie Wepesi UVCCM
kwahiyo unataka kusema nyumbu wana hoja, right 😅
 
Back
Top Bottom