Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samia

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.

Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?

Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.

Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo...
Duh...!, maneno makali haya!. Naendelea kumuombea msamaha Rais Samia, kwa vile yeye sio mwanasheria, masikini mama wa watu, hajui kuwa huo muswada wa sheria ya uchaguzi ni muswada batili unaokiuka ibara ya 11 ya Katiba ya JMT. Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!.
P
 
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.

Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?

Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.

Mbowe ni MWONGO. Huwezi ukala keki halafu ukabakia nayo. Mbowe umepokea fedha za Samia, acha kuwakoga wenzio kuwafanya hawajui kinachoendelea.

Hebu waambie wana CHADEMA umepata wapi fedha za kujenga jumba hili?

Screenshot_20240113_224053_Google.jpg
 
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.

Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?

Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.

Sisi wenyewe hatuaminiania ndio wewe utuamini!

Yeye mwenyewe mwenyekiti haamini kama chama chake kitampitisha kugombea urais 2025. Ndio maana kaanza kampeni mapema kabla ya wakati!!
 
Ulitahadharishwa sana na wenzako ukakataa kuwasikiliza.

Lissu alikataa katakata maridhiano na CCM. Wewe ukawa ng'ang'ari kuwalazimisha wenzako.

Umechelewa kujua hilo..
Huyu mwenyekiti naona muda wake wa kuachia kiti umefika 2015 alimgeuka Dr slaa na kumpokea yule mfugaji mwenye bleach za kikongo yaan sio mtu wa kumuakini kutokana hali yake ya kugeuka geuka ni kama yule nyoka mwenye vichwa viwili!!!!
 
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.

Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?

Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.

It's yoo high to get over (yeah, yeah)
It's too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder (yeah, yeah)
- Michael Jackson "Wanna Be Startin' Something"
 
Back
Top Bottom