Hata shirika la Reli yawezekana halijui limeagiza treni za SGR za aina gani; treni inayofanyiwa majaribio Korea haifanani na zilizowahi ingizwa nchini

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Tumekuwa tukipewa updates za ujio wa treni ya kisasa. Kila inapoletwa updates wafu waliowahi kusafiri nje ukataa kwamba hizi zimepitwa na wakati siyo treni mpya.

Ukisoma huku kila uchwao wapo viongozi wa serikali na chama waliowahi kutetea kwamba zile zilizoletwa ni vichwa vya kisasa na mabehewa ya kisasa. Wanaofahamu waliwakatalia wakaitwa siyo wazalendo.

Siku si nyingi mabehewa yote tuliyoachiwa ni ya SGR yamekwenda kutumika kwenda treni ya mkoloni na yanapita kazi kwenda Kigoma. Jana tumeyaona huko Dodoma abiria wakiwa wamekaa saa 18 bila usafiri.

Baada ya hoja za serikali kupigwa nyundo na baadhi kuzzita treni za awali kama escape from Sabibo....Jana nimeona clip inayosambaa mitandaoni ikionyesha treni inafanyiwa majaribio huko Korea.

Kwa mwonekano ule na kwa wale tunaofahamu treni za kisasa tumeanza kupata matumaini kwamba labda hizi sasa ndizo treni tunazoletewe. Ila tunabaki na swali, kwanini swali tuliambiwa yale mabehewa ni ya SGR? Kwanini juzi tulionyeshwa kicha cha treni tofauti na vinavyofanyiwa majaribio tukaambiwa ndo sample ya vichwa vinavyoletwa?

Kama kweli hii clip ndiyo true sample ya treni zetu mpya, waliokuwa wanashangillia zile za zamani watatuambia nini? Lengo la kupotosha lilikuwa nini?
 
Tulieni muilambe dawa
 
Tatizo la bongo Kila mtu ni mbobezi wa Kila kitu na Yuko huru kutoa ufafanuzi kwenye jambo lolote
 
Back
Top Bottom