Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

olimpio

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
402
834
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.

Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?
 
Kwaakili za manyumbu wanamsubiri Mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.

Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
 
20230629_172226.jpg
 
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .

Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kua fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Duh!

Mbona hii "sumu" ni hafifu sana!?
 
Fake News!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Offcourse deep state wanamtaka Slaa ataweza mvuruga Samia Hadi suala la katiba mpya litakwenda na maji...
Slaa Hana adabu na ana chuki za kidini ..hii itamfanya Samia awachukie Chadema kabisa ...na asijali Sana maridhiano...na atalazimika kuwa accommodate..team JPM na team Kikwete more kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati...
In the end watakaopata faida ni ccm hardliners ambao Samia atalazimika kuwasikiliza zaidi ili kuwadhibiti Slaa na Tundu Lissu....
Huku mtu wa Pengo... Philip Mpango anaji brand kama "calm na collected" na "president in waiting"...

Let's wait and see
 
kuna lines umeongea ukweli, Slaa na Lissu wamekaa kiuwana harakati zaid , Mbowe ana kazi ya kufanya
 
MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Kama walimpokea Lowassa watashindwa kwa Slaa Kamanda?
 
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .

Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kua fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?

akirejeshwa the Mbowe agombee Urais coz anawazidi wote pakubwa Kujiamini na Uzalendo usio shaka, Uvumilivu na Ustahimilivu usiokoma, Uthibutu, hekima na Busara za kiuongozi na hivyo anaaminika na atavutia wengi. Hoa wengine ukimuangalia na kumsikiliza vizuri, tone na expressions zimejaa ukibaraka ukibaraka hivi
 
Back
Top Bottom