voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Uongozi huwa ni kuonyesha Njia uongozi huwa ni pamoja na kusimamia yale mnayowaaminisha mnaowaongoza kwa vitendo.
Sasa Chadema kupitia mwenyekiti wake Ndugu Aikael Freeman Mbowe Mmewatangazia watanzania kuwaomba wawaunge mkono katika maandamano yenu, kutaka mapendekezo yenu yaingizwe kwenye marekebisho ya katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025.
Ni ukweli kwamba mnayo hoja ya msingi na mnapaswa kusikilizwa.
Ombi langu kwenu enyi viongozi waandamizi wa Chadema ni moja tu.
Kwamba muwalete na nyinyi watoto wenu wanaokula maisha huko ughaibuni pamoja na wake zenu.
Ili waje tushirikiane kwenye hayo maandamano,badala ya nyingi kutska kuwatumia watoto,wamama na wababa wa wenzenu.
Huku wa kwenu mmewaficha ulaya.
Mbowe- familia iko USA .
Lema-familia iko Canada . Lissu-familia iko Belgium .
Lakini pia niwaulize Chadema kwamba mlikuwa wapi kwenye kutetea ugumu wa maisha uliosababishwa na uongozi huu?
Ina maana leo ndio mnaisikia Tozo ya miamala,mfumko wa bei,kupanda nauli nchini pamoja na kutamalaki kwa ufisadi nchini?
Mlikuwa wapi kuitisha maandamano ya kupinga hayo?
Maana kiuhalisia hayo ndiyo madhila makuu ya wananchi.
Sasa nyingi mnataka wananchi wawatetee kutafuta katiba,ili na nyinyi iwape upenyo kuingia ikulu kufaidi.
Lakini mnasahau kwamba ni hivi majuzi tu mliwatenga kina Mwabukusi na Dk Slaa kwenye sakata la bandari ile DP-WORLD.
Na mkawazimia simu kabisa ilhali mlikwisha waahidi kutumia platform yenu!
Lakini pia no nyie mnaoo ngoza kwa kujitenga na vyama vinginevyo vya upinzani nchini mkiwakejeli kwamba ni vyama vidogo.
Iweje leo mnawaomba ushirikiano??