Kwa hili CHADEMA na Mbowe wako upande wa wananchi

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,892
3,196
Habari zenu wana JF.

Husikeni na mada tajwa hapo juu.

Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo.

Kuanzia miswada batili yenye Lengo la kuwanufaisha viongozi walioko madarakani pamoja na watoto wao hadi kwenye hali ya ugumu wa maisha kwa Watanzania walio wengi huku viongozi wao wakiishi utafikiri wako Paradiso!

Hebu fikiria suala la mfumko wa bei ulivyo sasa, vitu vinapanda bei kila siku na hakuna matumaini kwamba vitapungua tena ilhali hali ya kipato kwa walio wengi ikiwa mbaya!

Hebu fikiria jinsi ambavyo chaguzi zetu zimekuwa zikilaumiwa kila mara kutokana na michakato yote kufanywa na wateule wa Rais aliyeko madarakani.

Nimalizie tu kwa kusema, kwa hili, chama cha Demokrasia na Maendeleo na Mbowe wako sahihi na wamejitanabaisha kuwa SAUTI ya Watanzania walio wengi.

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu Mbariki Mbowe,

Amin.
 
Mungu ibariki CHDEMA, Mungu Mbariki Mbowe,

Amin.
Amina kubwa , Mungu ilaani ccm
 
Kabisa! Watanzania tuwaunge mkono CHADEMA la sivyo hali ya Tanzania itakuwa mbaya sana.
 
Bila kujali Itikadi zetu Dini zetu Ukabila Kipato nk ...hii nchi wanufaika ni wachache mno ...wanakula na kusaza...yaani mpaka kuvimbiwa....wanaanda Utawala wa Kifalme wao na familia zao.....

WAKATI NI SASA....WA KUVUWA MINYORORO SHINGONI...

Yaani unamkuta mama anachoma mahindi barabarani na mtoto mgongoni ukimwaangalia anaongea mwenyewe tu ...huruma inakuingia unajisachi mfukoni chochote ulicho nacho....
 
Kweli Mkuu..
Ndo maana CHADEMA wamekuja na kauli mbiu yao mpya ya "SASA BASI"!
 
Back
Top Bottom