Pendekezo la CHADEMA No.5 Lililowasilishwa na Mnyika kuhusu Wabunge Liko Sahihi kwa Vigezo hivi

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,586
17,696
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa tuna tumia pesa nyingi kulipa mishahara?

Ilinichukua Muda kutafakari Sana kwani kwani katika watu ninaowaamini Katika chama hicho ni Mnyika..

Lakini huu hapa ndo.ukweli..

Chadema wametoa hoja Yao katika Rasimu ya Waryoba ya katiba Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Screenshot_20240114_123922_Adobe Acrobat.jpg

Ibara ya 113 ya Katiba hiyo ntainukuu..

113 (2)(a)Wabunge sabini wa kuchaguliwa kupitia majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi, hamsini kutoka Tanganyika na ishirini kutoka Zanzibar; na

(b) Wabunge watano wenye ulemavu watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa za kuchaguliwa kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwakilishi wa Nchi Washirika na jinsi.

(3) Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili a mwanamme

(4) Wabunge kutoka kila Jimbo la Uchaguzi watpatikana kwa kupigiwa kura na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na sheria inayoweka utaratibu kuhusu mambo ya uchaguzi."

Sasa kwa mchanganuo huo anamaanisha kwanza

  • kupunguza Majimbo kifikia 50 Tanzania Bara (Tanganyika) na 20 Zanzibar jumla Majimbo Tanzania yatakuwa 70 (Tofauti na sasa Yapo majimbo 214 Tanzania Bara na 50 Visiwani zanzibar
  • Wabunge watano wa Kuteuliwa na Rais
  • na kila Jimbo kuwa na Nafasi ya wabunge wa kike na Wakiume ili kuweka Gender Equality isiyo na mashaka yaani wote wachaguliwe na wananchi bila Kuchaguliwa na mtu..
So kwa mchanganuo huo wabunge hawatazidi 150 kwa Tanzania Nzima
Tofauti na Sasa wabunge 393
ni sawa na Punguzo la wabunge 243
Hakika amefikiri vizuri sana

kama kila mbunge hulipwa posho na mshahara wa Jumla ya 10 milion kila mwezi
243X 10,000,000/= 2,430,000,000/=

itasaidia kupunguza Matumizi ya Bilion 2 na 430 Milion kwa mwezi..

Hivyo inaweza kusaidia kuongeza Pato la taifa na kulipa wafanyakazi wengine wa serikali..
Hata hivyo pia itasaidia kupunguza gharama za Uchaguzi..

Hakika amefikiri Sana Sikujua hili kama nilimtukana Nisamehewe..

Lucas mwashambwa Erythrocyte johnthebaptist
 
Write your reply...IKO VIZURI SANA TUTANGULIZE UTAIFA NA UZALENDO WA KWELI KULIKO KUFIKIRIA MATUMBO YETU YA KINYONYAJI YA WABUNGE 430.Asante mnyika kwakuwa na vision ya mbali
 
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa tuna tumia pesa nyingi kulipa mishahara?

Ilinichukua Muda kutafakari Sana kwani kwani katika watu ninaowaamini Katika chama hicho ni Mnyika..

Lakini huu hapa ndo.ukweli..

Chadema wametoa hoja Yao katika Rasimu ya Waryoba ya katiba Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
View attachment 2871326

Ibara ya 113 ya Katiba hiyo ntainukuu..

113 (2)(a)Wabunge sabini wa kuchaguliwa kupitia majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi, hamsini kutoka Tanganyika na ishirini kutoka Zanzibar; na

(b) Wabunge watano wenye ulemavu watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa za kuchaguliwa kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwakilishi wa Nchi Washirika na jinsi.

(3) Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili a mwanamme

(4) Wabunge kutoka kila Jimbo la Uchaguzi watpatikana kwa kupigiwa kura na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na sheria inayoweka utaratibu kuhusu mambo ya uchaguzi."

Sasa kwa mchanganuo huo anamaanisha kwanza

  • kupunguza Majimbo kifikia 50 Tanzania Bara (Tanganyika) na 20 Zanzibar jumla Majimbo Tanzania yatakuwa 70 (Tofauti na sasa Yapo majimbo 214 Tanzania Bara na 50 Visiwani zanzibar
  • Wabunge watano wa Kuteuliwa na Rais
  • na kila Jimbo kuwa na Nafasi ya wabunge wa kike na Wakiume ili kuweka Gender Equality isiyo na mashaka yaani wote wachaguliwe na wananchi bila Kuchaguliwa na mtu..
So kwa mchanganuo huo wabunge hawatazidi 150 kwa Tanzania Nzima
Tofauti na Sasa wabunge 393
ni sawa na Punguzo la wabunge 243
Hakika amefikiri vizuri sana

kama kila mbunge hulipwa posho na mshahara wa Jumla ya 10 milion kila mwezi
243X 10,000,000/= 2,430,000,000/=

itasaidia kupunguza Matumizi ya Bilion 2 na 430 Milion kwa mwezi..

Hivyo inaweza kusaidia kuongeza Pato la taifa na kulipa wafanyakazi wengine wa serikali..
Hata hivyo pia itasaidia kupunguza gharama za Uchaguzi..

Hakika amefikiri Sana Sikujua hili kama nilimtukana Nisamehewe..

Lucas mwashambwa Erythrocyte johnthebaptist

Uwezo wa Mnyika wa kufikiri ni zaidi ya ccm na bunge lote kwa sasa!
 
Very trickly, void! Kutakuwa possibility ya baadhi ya vyama kupata wabunge nusu na zaidi, hivyo kuweza kufanya maamuzi ya hovyo, void this stupid trap!
MFUMO ULIOPO NI BORA ZAIDI.
 
Una maana gani hapa?

Mbona hata sasa kuna chama ambacho kina wabunge si tu nusu au zaidi ya nusu kama usemavyo bali ni wote 100% ni wa chama kimoja!!

Hoja yako hapa ni nini wewe??? Ndiyo unasema kuwa mfumo wa sasa ni bora zaidi kuliko huu unaopendekezwa?

Mimi nadhani hata kama chama kimoja kitapata wabunge nusu au zaidi ya nusu, kama wamechaguliwa kihalali na watu/wananchi wenyewe ktk uchaguzi huru na wa haki, what's your point then..??

Tatizo la mfumo wetu wa uchaguzi wa sasa sio hili unalolifikiria wewe.

Tatizo ni kutokuwepo kwa UWAZI na UHURU wa vyombo au mamlaka za usimamizi wa chaguzi zetu. Hili ndilo tatizo linalohitaji tiba. Tatizo sio chama kimoja kuwa na wabunge wengi. Kama wamechaguliwa kihalali, kwa UWAZI na kwa HAKI shida iko wapi??

Na katika mfumo wa muundo wa sasa wa vyombo au mamlaka za usimamizi wa uchaguzi, zenyewe tu kama zilivyo ni sehemu ya washiriki wa uchaguzi kwa kusaidia chama kilichopo madarakani..

Hilo☝️☝️☝️ ndilo tatizo linalopaswa kuondolewa mara moja ili kuleta uwanja uliosawa wa ushindani kisiasa kwa vyama vya siasa na washiriki wote wa uchaguzi..!

Miswaada ya sheria iliyowasilishwa bungeni haitibu tatizo hili hata kidogo isipokuwa inapaka rangi tatizo lililopo muda mrefu na kupigiwa kelele..!
 
Very trickly, void! Kutakuwa possibility ya baadhi ya vyama kupata wabunge nusu na zaidi, hivyo kuweza kufanya maamuzi ya hovyo, void this stupid trap!
MFUMO ULIOPO NI BORA ZAIDI.
Mfumo uliopo wa Wabunge 393 huku asillimia 98 ya wabunge wote ni CCM?
Au mfumo huu wa Wabunge ambapo kutakuwa kuna wabunge Binafsi(Wasio na chama) Na wale walio na chama?
 
Alipo target Msigwa ni parefu mno ni mtego mbaya Sana, ni ngumu kuuona lakini baadae mwishoni, vyama vitaweza kuiondosha serekali kiwepesi kabisa.
 
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa tuna tumia pesa nyingi kulipa mishahara?

Ilinichukua Muda kutafakari Sana kwani kwani katika watu ninaowaamini Katika chama hicho ni Mnyika..

Lakini huu hapa ndo.ukweli..

Chadema wametoa hoja Yao katika Rasimu ya Waryoba ya katiba Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
View attachment 2871326

Ibara ya 113 ya Katiba hiyo ntainukuu..

113 (2)(a)Wabunge sabini wa kuchaguliwa kupitia majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi, hamsini kutoka Tanganyika na ishirini kutoka Zanzibar; na

(b) Wabunge watano wenye ulemavu watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa za kuchaguliwa kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwakilishi wa Nchi Washirika na jinsi.

(3) Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili a mwanamme

(4) Wabunge kutoka kila Jimbo la Uchaguzi watpatikana kwa kupigiwa kura na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na sheria inayoweka utaratibu kuhusu mambo ya uchaguzi."

Sasa kwa mchanganuo huo anamaanisha kwanza

  • kupunguza Majimbo kifikia 50 Tanzania Bara (Tanganyika) na 20 Zanzibar jumla Majimbo Tanzania yatakuwa 70 (Tofauti na sasa Yapo majimbo 214 Tanzania Bara na 50 Visiwani zanzibar
  • Wabunge watano wa Kuteuliwa na Rais
  • na kila Jimbo kuwa na Nafasi ya wabunge wa kike na Wakiume ili kuweka Gender Equality isiyo na mashaka yaani wote wachaguliwe na wananchi bila Kuchaguliwa na mtu..
So kwa mchanganuo huo wabunge hawatazidi 150 kwa Tanzania Nzima
Tofauti na Sasa wabunge 393
ni sawa na Punguzo la wabunge 243
Hakika amefikiri vizuri sana

kama kila mbunge hulipwa posho na mshahara wa Jumla ya 10 milion kila mwezi
243X 10,000,000/= 2,430,000,000/=

itasaidia kupunguza Matumizi ya Bilion 2 na 430 Milion kwa mwezi..

Hivyo inaweza kusaidia kuongeza Pato la taifa na kulipa wafanyakazi wengine wa serikali..
Hata hivyo pia itasaidia kupunguza gharama za Uchaguzi..

Hakika amefikiri Sana Sikujua hili kama nilimtukana Nisamehewe..

Lucas mwashambwa Erythrocyte johnthebaptist
Hii akili Lucas Mwashambwa akipata hata robo anapewa Uwaziri Mkuu.
 
Hata mimi kwa mantiki hii namuelewa zaidi, ila hoja ya jimbo moja me na ke inaleta segregation of gender kwenye uchaguzi. Tunahitaji Me na Ke washindanishwe, yaani kama nilielewa sawia hapo kutakuwa na Me kivyao na Ke kivyao, am I right?
 
Back
Top Bottom