Tanganyika Law Society, wanaweza fanya hii ya Law Society of Kenya?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,515
Kule Kenya LSK wameenadamana mitaa ya Nairobi kupinga kile wanacho dai ni Ruto kutaka kuingilia uhuru wa Mahakama, hii ni baaada ya juzi kati kuwatuhumu Majaji kwamba wanahongwa kukwamisha Serikali.

Sasa hii kwa TLS inawezekana kweli? au Chama kimejaa makada plus Uoga kama walio nao raia wa kawaida tu?
Screenshot_20240113_201038_com.facebook.katana.jpg
 
Nimeona kwenye social medias za Kenya hiyo kitu ukweli hapa kwetu ni HAIWEZEKANI kamwe!.

Hapa bongoland kila mtu ni chawa nani chawa anayeogopa mwanga au mtikisiko wa aliyevaa nguo ambayo huyo chawa kajishikisha humo.

Mfano kuna mwanasheria mmoja toka achimbwe mkwara alipokuwa anatetea ndugu zake wasipigwe na gavamenti alijifungia ndani kwa kipindi na alipotoka ndani either kawa chawapro or kaambiwa tulie na imba sifa ule unono wa taifa.

Katiba isiyo na meno inayodharauliwa inawafanya hata wasimamizi wa sheria kukunja mkia kama umbwa koko!.

Ni hawawezi kabisa hata kujaribu!.
 
Ndugu, ushaenda Serengeti? Uliona nyumbu na pundamilia wakijitupa mtoni waende na maji au waliwe na mamba mradi waukesha mto hadi ng'ambo? Hiyo huitwa herd instinct, death wish. Kenya wako hivo, sisi hatuko hivo kwa vile hatuna sababu. Nyumbu wa Serengeti ndiyo makabila ya Kenya, sera ya CHADEMA ya majimbo.
 
Sio hamana sababu, ni kwa sababu ya wapumhmbavu kama wewe, mko mitandaonu kulamba watawala miguu, ilihali ndugu zenu wakiteseka kule bushi. kama wewe ni mpumhavu umekuja Duniani kusifia na jujikomba kwa wanaume wenzako
 
Ndugu, ushaenda Serengeti? Uliona nyumbu na pundamilia wakijitupa mtoni waende na maji au waliwe na mamba mradi waukesha mto hadi ng'ambo? Hiyo huitwa herd instinct, death wish. Kenya wako hivo, sisi hatuko hivo kwa vile hatuna sababu. Nyumbu wa Serengeti ndiyo makabila ya Kenya, sera ya CHADEMA ya majimbo.
Nyumbu hua wanafanyaje mwenzao akidakwa na mamba?
 
TLS mara wako upande wa serikali, mara upinzani inategemeana na rais wao.

Hanawa msimamo thabiti kwa maslahi ya Watanzania.
 
Ndugu, ushaenda Serengeti? Uliona nyumbu na pundamilia wakijitupa mtoni waende na maji au waliwe na mamba mradi waukesha mto hadi ng'ambo? Hiyo huitwa herd instinct, death wish. Kenya wako hivo, sisi hatuko hivo kwa vile hatuna sababu. Nyumbu wa Serengeti ndiyo makabila ya Kenya, sera ya CHADEMA ya majimbo.
Waislam hawakusoma- ilisikikana sauti ya mtu mmoja maarufu Jf
 
Wewe kwenye kada yako unafanya kama your Kenyan counterpart?
 
Ndugu, ushaenda Serengeti? Uliona nyumbu na pundamilia wakijitupa mtoni waende na maji au waliwe na mamba mradi waukesha mto hadi ng'ambo? Hiyo huitwa herd instinct, death wish. Kenya wako hivo, sisi hatuko hivo kwa vile hatuna sababu. Nyumbu wa Serengeti ndiyo makabila ya Kenya, sera ya CHADEMA ya majimbo.
Hapo kwa chadema sijakuelewa unataka kusema nini..?.
 
Back
Top Bottom