"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar...
Muda wowote kuanzia siku ya leo Freeman Mbowe atatangaza kusitishwa kwa maandamano na kurejea kwenye meza ya mazungumzo. Why..?
Yapo mambo matano utafiti wa kisayansi ambao ulionyesha wazi...
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?
Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali...
Ikiwa Asilimia 82% ya Shehena ya Mizigo inayoenda Nchi Jirani inakwenda kwenye Nchi 3 tuu za DRC,Zambia na Rwanda ,Kwa nini SGR Inajengwa Kwenda Mwanza na sio Kigoma,Burundi na Rwanda?
Wale...
Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi.
Ndege za ATCL zikiwa...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani...
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku...
Wanabodi,
Nimesoma mahali kuhusu mchango wa diaspora na influence yao kwenye siasa za nchi zao, hivyo najiuliza, je hawa wana diaspora wetu sisi Tanzania, waliotapakaa ulimwenguni kote, jee wana...
Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania
1. Je unataka Watanzania wazawa ambao...
Ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu atashiriki maandamano ya Chadema tarehe 24
Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze...
Mtake msitake, binadamu ni tofauti na mnyama, ambaye hutamkandamiza akubali siku zote.
Tulichokikataa kwa wazungu wachache wa Afrika ya kusini zamani;
hatutakifanya leo kikubalike popote...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas, Alfred M. Sears pembezoni mwa l Mkutano wa Wakuu wa Nchi na...
https://www.youtube.com/watch?v=G4tNsKr16_o
Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024.
Mwenyekiti wa...
Mnara wa Babeli?
Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji.
Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa...
Idadi ya watu ndio inapaswa kuwa kipimo cha ubunge. Sio Halmashauri au eneo tu la kijiografia kwa sababu mbunge anapaswa kuwakilisha wapiga kura na wapiga kura wote wanapaswa kuwakilishwa kwa...
Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga...
Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mafunzo kwa...
Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio...