Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania? Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo: 1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar? 2. Kwanini ni ngumu...
1 Reactions
7 Replies
786 Views
Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Huu ndio ukweli mtupu. Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono. Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa. Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa. Ajira...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye alielimika na si kuishia kuwa na vyeti. Alifariki South Africa akiwa matibabuni. Kifo chake kinahusishwa...
37 Reactions
77 Replies
17K Views
Mbunge Ndiye kiunganishi cha Wananchi na serikali Naomba mh Askofu Dr Gwajima fanya tathimini ya Uhalibifu uliotokea ukitushirikisha Wananchi na kuwasilsha ripoti serikalini moja kwa moja...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema. Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuna njia za msingi za kidemokrasia za kufikisha ujumbe ama kudai haki iliyokanywagwa. Na njia hizo ziluzodhahiri ni pamoja na: 1) Njia ya kwanza ni ya uwakilishi. Ndiyo maana tunachagua...
8 Reactions
10 Replies
739 Views
Hivi wana nia ya dhati? Au ndio wanazuga watu,maana ukiingia katika kiunganishi(link) walichotoa hakifikiki,na ukiingia kupitia simu via *152*00# unatakiwa uwe faster kama unataka kuweka mkeka...
0 Reactions
3 Replies
366 Views
SERIKALI imewaachilia huru watuhumiwa wanne kati ya saba wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya kukusudia ya Dk Sengondo Mvungi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Watuhumiwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala! Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu...
2 Reactions
8 Replies
690 Views
Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Majukumu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzanua, na maheshi mengune yote, yameainishwa kisheria. Ni Amiri Jeshi Mkuu pekee ndiye anaweza kulielekeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania kufanya shughuli...
42 Reactions
107 Replies
24K Views
Wakati wote, sheria hubadilishwa ili kujibu matatizo ya wakati fulani. Sahizi mjadala mkubwa umekuwa marekebisho ya sheria ya Uchaguzi kutokana na uhuni wa kupindukia ambao umekuwa ukifanyika...
2 Reactions
2 Replies
833 Views
Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga...
13 Reactions
140 Replies
9K Views
SIONI taabu kwenye ishu ya kuandamana ila nataka kufahamu NANI ATAANDAMANA? Ukiamrisha maandamano lazima uwe na mawasiliano na waandamanaji. Mawasiliano yenyewe ni nguvu ya muitishaji maandamano...
2 Reactions
5 Replies
515 Views
Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya. Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale. Polisi na Mahakamani dhuluma. Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa...
2 Reactions
2 Replies
498 Views
Kumbe waungaji mkono wa maandamano Wana ajenda mbalimbali siyo ile miswada ya sheria za uchaguzi pekee Jana bwanamdogo mmoja amenihakikishia piga ua 24 January Lazima aandamane kupinga kulipwa...
0 Reactions
1 Replies
417 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…