Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natoa kongole kwa maandamano ya CHADEMA, maandamano yenu mmemaliza kwa kundi moja tu. Maandamano ni hatua, maandamano yenu leo ni hatua, hatua ya kwanza mmemaliza kuwakutanisha watu wa mijini hasa...
0 Reactions
7 Replies
837 Views
CHADEMA kama kweli maandamano yenu ni ya dhati toka mioyoni basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla. Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
"Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada. Alikubali kutumika na...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli. 1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi...
1 Reactions
4 Replies
810 Views
Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka...
1 Reactions
1 Replies
891 Views
Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti. Mimi napendekeza...
43 Reactions
105 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwamba na Jabali wa siasa za ardhini na kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda. Ambapo katika siku kama ya leo...
2 Reactions
3 Replies
784 Views
Inashangaza mwekezaji Kilombero Sugar kugeuka kuwa mwagizaji,ameshindwa uzalishaji halafu anaagiza halafu ndo aanze kusupply yeye. Kweli Tanzania tunahitaji wawekezaji wa aina hiyo kama siyo dili...
5 Reactions
17 Replies
987 Views
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema CCM haikuwatendea Haki kwa kutompa Katibu mkuu mh Mnyika nafasi ya kuongea ilhali alikuwepo msibani akikiwakilisha Chama Lema...
12 Reactions
95 Replies
7K Views
Kitengo cha utafiti cha shirika la Economist, kimesema kuwa viwango vya demokrasia kote ulimwenguni, vilishuka mwaka uliopita, katikati mwa vita, ukandamizaji wa kimabavu na kupungua kwa uaminifu...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru. Lakini leo zao la korosho kwao...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa...
1 Reactions
0 Replies
853 Views
Dkt. Slaa amesema iko kwenye rekodi kwamba pale Mwembe Yanga alisema Lowassa ni fisadi Lakini yeye ni Padre anayetakiwa kuiponya roho ya Lowasa hivyo hana Tatizo lolote na Lowasa Dkt. Slaa...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Ingependeza Zaidi kama wabunge wote wangemuaga aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni hayati Lowasa Kwenye Viwanja vya Bunge kama walivyomtendea Shujaa Magufuli Kamati ya Maridhiano...
2 Reactions
4 Replies
554 Views
Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi? Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Leo nimefanikiwa kukutana na Page ya NMB PLC kule Facebook, NMB Sasa wameamua kufungua akaunti kwa TZS 1,000 tena bila makato ya mwezi hii ni dalili ya uchumi wa nchi kukua kwa kasi nakuzifanya...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom