Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,049
"Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Mzee Butiku kwakuwa huwa hupitishi hata Mwezi Mmoja kuja Nyumbani na Mimi pia huwa sipitishi hata Siku au Mwezi au Miezi kuja Kwako Mabwepande nyumba za TBA nikionana nawe utanieleza Mwanao GENTAMYCINE ni kitu gani kimekukumba hadi kutoa Salamu zako hizi za Rambirambi zenye Unafiki mwingi kwa Marehemu Lowassa ambaye hukuwa Ukimpenda kabisa na nakumbuka ulitumia muda wako mwingi Kupinga asichaguliwe na CCM kuwa Flag Bearer wake na awe Rais wa Tanzania kwakuwa ulisena HAFAI na kwamba ATAIHARIBU nchi.

Mzee Butiku tangia lini Sisi Wazanaki tumekuwa na hii tabia ya Kinafiki ambayo nakuoma na Wewe ukiwa nayo tena ukiwa Mzee hivyo? Umenisikitisha sana Mwanao na najiuliza au labda wakati unasema Maneno haya ya Kumsifu Lowassa ulikuwa Umekunywa kidogo hivyo Kichwa chako kilikuwa Kimechangamka?
 
list ni kubwa ya wanafiki
.
20240213_044014.jpg
 
Muheshimu mzee wetu Joseph Butiku, aliyoyafanya kama mtu wa state ni mengi walau ungemuheshimu kwa hayo, sidhani kama angakuwa baba yako wa kukuzaa ungemnanga namna hii na kumtweza, kina Mbowe, Lisu na Msigwa walichange gear angani hukuwananga Leo anakosea nini mtoto wa Taifa na mtumishi huyu wa Umma mkongwe, maiti husifiwa huwa haipondwi hiyo ndio adab

Hii tone mbona ni kama ya Butiku?
 
"Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Mzee Butiku kwakuwa huwa hupitishi hata Mwezi Mmoja kuja Nyumbani na Mimi pia huwa sipitishi hata Siku au Mwezi au Miezi kuja Kwako Mabwepande nyumba za TBA nikionana nawe utanieleza Mwanao GENTAMYCINE ni kitu gani kimekukumba hadi kutoa Salamu zako hizi za Rambirambi zenye Unafiki mwingi kwa Marehemu Lowassa ambaye hukuwa Ukimpenda kabisa na nakumbuka ulitumia muda wako mwingi Kupinga asichaguliwe na CCM kuwa Flag Bearer wake na awe Rais wa Tanzania kwakuwa ulisena HAFAI na kwamba ATAIHARIBU nchi.

Mzee Butiku tangia lini Sisi Wazanaki tumekuwa na hii tabia ya Kinafiki ambayo nakuoma na Wewe ukiwa nayo tena ukiwa Mzee hivyo? Umenisikitisha sana Mwanao na najiuliza au labda wakati unasema Maneno haya ya Kumsifu Lowassa ulikuwa Umekunywa kidogo hivyo Kichwa chako kilikuwa Kimechangamka?
Acha unafiki,fanya yaKo,goroko wewe
 
Back
Top Bottom