Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi wa mapambano ya uhuru walifanya yote yale ili waishi maisha waliyokuwa wanaona wakoloni wanaishi. Waliudanganya umma kuwa wanapigania maslahi ya umma lakini ulikuwa uongo mtupu. Baada...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Nimeona Makonda akisema madereva wapatiwe pasipoti kwa gharama za Mhe. Rais nikashtuka sana kwamba nchi ina viongoz wasiojua tatizo la watu wake Nchi ya Zambia ukiingia kama dereva kwa kutumia...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa...
22 Reactions
148 Replies
33K Views
Cde. Shemsa Mohamed: CCM Yapokea Wanachama Wapya 100 Busega CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea Wananchama wapya 100 kutoka kata ya Nyaruhande wilayani Busega Mkoani Simiyu baada ya kuridhisha na...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
Hii nchi imejaa raia wasio jitambua kabisa na wajinga wajinga pia, ni ujinga kulaumu TANESCO na Waziri wa nishati na kumuacha mhusika mkuu ambaye ni Raisi. Raisi ni mtu pekee wa kulaumu kwa hii...
1 Reactions
0 Replies
502 Views
Mwezi mmoja 237,000,000 X 1=237,000,000 Miezi Sita 237,000,000 X 6=1,422,000,000 Mwaka mmoja (miezi 12) 237,000,000 X 12= 2,844,000,000. Swali: Serikali inahaja ya kutoa ruzuku kwa vyama...
3 Reactions
89 Replies
10K Views
Hebu fikiria nchi kama Kongo inapigana Vita miaka na miaka lakini timu yao ya taifa imeingia Nusu fainali mashindano ya mataifa huru Africa. Tanganyika imetolewa mapema ikiwapeleka akina Mwijaku...
1 Reactions
6 Replies
561 Views
Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt...
23 Reactions
80 Replies
7K Views
Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
M23 mambo hayawaendei vizuri. Wamepata pigo kubwa sana siku za karibuni. Wamepoteza wapiganaji 80. Lakini wao wanasema they were observing a ceasefire,kwa hiyo wameshambuliwa bila sababu na...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Picha: Kushoto ni Chongolo, kulia ni Thadei Ole Mushi Katiba mpya si mali ya chama chochote ni mali ya wananchi. Na katiba mpya si utashi wa chama kipi kitupatie ni takwa la wananchi kama...
13 Reactions
36 Replies
6K Views
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Haraka haraka kwenye mada, Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga na kulitetea Taifa letu na chama chetu Cha...
42 Reactions
156 Replies
12K Views
Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
2 Reactions
1 Replies
689 Views
SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DESEMBA, 2011 Ndugu Wananchi; Leo tunauaga mwaka 2011 na...
9 Reactions
189 Replies
21K Views
Uwezo ni pamoja na kuwa huru kufanya mahojiano bila kuyakatisha au kuahirisha. Nakumbuka wakati Rais Mkapa anaokwenda kufanya kipindi/mahojiano pale Hard Talk BBC na pale ndio nilielewa faida ya...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
RAIS wangu Samia Suluhu Hassan, kwa unyenyekevu mkubwa mama yetu mpendwa, leo ni siku yako ya kuzaliwa. Keki zimekatwa kila mahali nchi nzima kukusherehekea. Hongera sana Rais Samia kwa miaka...
34 Reactions
81 Replies
13K Views
1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Back
Top Bottom