Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,884
- 6,396
M23 mambo hayawaendei vizuri. Wamepata pigo kubwa sana siku za karibuni. Wamepoteza wapiganaji 80.
Lakini wao wanasema they were observing a ceasefire,kwa hiyo wameshambuliwa bila sababu na hizo drones za jeshi la DRC.
Swali langu ni kwamba AU iko wapi?
Sasa Tshitsekedi wiki iliyopita alikuwa anasaini mkataba na Xi Jij Ping kwamba madini yote ya DRC watapewa Wachina ili wajenge infrastructure DRC. Kwa hiyo wanasubiriwa tu watu wenye tamaa waanzishe vita ya kutaka kuyapora madini ya DRC.
We are lacking in the religious spirit. Kwa sababu intellectuals wetu ukiwaambia waandike Katiba for an African government,they can do it in two weeks.
Lakini haya mambo hayawezi kufanyika with just dry intellectualism,bila kumtumaini Mungu.
Lakini AU ikishindwa kuyatanzua haya mambo ,sijui jambo gani litatokea.
Wale m 23 wanasema wao ni raia wa DRC. Anayetaka kuwafukuza DRC,basi ajitayarishe kupigana.
History is repeating itself.
Vita inataka kuanza tena kwa sababu zile zile zilizoleta vita miaka 25 iliyopita.
Halafu kulikuwa na sherehe ya UPDF( Uganda People's Defence Forces). Viongozi wa majeshi ya nchi zote za jirani walikuwepo: Kenya,Rwanda,DRC,Somalia,--- you name it,everyone was there.
Huu ni mgogoro kati ya Rwanda na DRC ambao AU imeshindishwa kuutanzua
In fact there is deafening silence from the AU.