Aliyeapa kuhakikisha bwawa la Mwl Nyerere halifanyi kazi ni nani?

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,211
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la kufua umeme halina maji ila mabwawa mengine madogo ya wavuvi na mito ya around maeneo hayo yamejaa maji balaa!!

Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!

Kwa hali hiyo hata bwawa la mwl nyerere kufungwa mashine 2 tu mpaka sasa badala ya mashine 9 ni mipango ya watu

Kama akina mbowe, Lissu , Zitto waliweza kuwatetea acacia wanashindwa nini kuwasemea watanzania?
Acacia ni wa muhimu mno kuliko mabwawa ya maji?

#tutashitakiwa miga

View: https://www.instagram.com/reel/C3AWDRkuS9P/?igsh=MWo3MDM1MTFzZ mgzMA==

CHANZO CHA UMEME KUKATIKA SIKILIZA HIZO FIGISU ZINAZOFANYIKA NA MAJANGA TU
 
Serikali inafanya hayo yote kwa manufaa ya nani? Wabunge wa CCM wanafanya nini mpaka raia wasio wabunge au viongozi wa serikali ndo waanze kutatua hizo changamoto?
 
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la kufua umeme halina maji ila mabwawa mengine madogo ya wavuvi na mito ya around maeneo hayo yamejaa maji balaa!!

Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!

Kwa hali hiyo hata bwawa la mwl nyerere kufungwa mashine 2 tu mpaka sasa badala ya mashine 9 ni mipango ya watu

Kama akina mbowe, Lissu , Zitto waliweza kuwatetea acacia wanashindwa nini kuwasemea watanzania?
Acacia ni wa muhimu mno kuliko mabwawa ya maji?

#tutashitakiwa miga

View: https://www.instagram.com/reel/C3AWDRkuS9P/?igsh=MWo3MDM1MTFzZ mgzMA==

CHANZO CHA UMEME KUKATIKA SIKILIZA HIZO FIGISU ZINAZOFANYIKA NA MAJANGA TU

Nchi yenye TISS, JWTZ, Polisi na vyombo vingine vya dola kibao halafu unawalaumu akina Lissu na Mbowe?

Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la kufua umeme halina maji ila mabwawa mengine madogo ya wavuvi na mito ya around maeneo hayo yamejaa maji balaa!!

Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!

Kwa hali hiyo hata bwawa la mwl nyerere kufungwa mashine 2 tu mpaka sasa badala ya mashine 9 ni mipango ya watu

Kama akina mbowe, Lissu , Zitto waliweza kuwatetea acacia wanashindwa nini kuwasemea watanzania?
Acacia ni wa muhimu mno kuliko mabwawa ya maji?

#tutashitakiwa miga

View: https://www.instagram.com/reel/C3AWDRkuS9P/?igsh=MWo3MDM1MTFzZ mgzMA==

CHANZO CHA UMEME KUKATIKA SIKILIZA HIZO FIGISU ZINAZOFANYIKA NA MAJANGA TU

Sasa kwenye Hili Mkuu mbowe anahusikaje 🤣🤣..

Yaani mtoto wako akosee Halafu unauliza kwaninj Jirani hamkanyi mtoto wangu..
Ulipaswa kwanza wewe ndo uanze kumkanya 🤣🤣
Tulia mkuu bado mapema sana..

Leo hii Ndyo mbowe, Lema,lissu na Zitto wanaumuhimu kwenu?
Kwanini msiisifu na kupiga mapambio kwa sababu maji hayaharibu kwenye bwawa letu 🤣🤣
 
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la kufua umeme halina maji ila mabwawa mengine madogo ya wavuvi na mito ya around maeneo hayo yamejaa maji balaa!!

Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!

Kwa hali hiyo hata bwawa la mwl nyerere kufungwa mashine 2 tu mpaka sasa badala ya mashine 9 ni mipango ya watu

Kama akina mbowe, Lissu , Zitto waliweza kuwatetea acacia wanashindwa nini kuwasemea watanzania?
Acacia ni wa muhimu mno kuliko mabwawa ya maji?

#tutashitakiwa miga

View: https://www.instagram.com/reel/C3AWDRkuS9P/?igsh=MWo3MDM1MTFzZ mgzMA==

CHANZO CHA UMEME KUKATIKA SIKILIZA HIZO FIGISU ZINAZOFANYIKA NA MAJANGA TU

Daaaa! "Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
hilo bwawa linachukiwa sana na mafisadi

sehemu ya kupiga hela nchi hii ni kwenye nishati hasa umeme. hilo bwawa limekuja kuharibu dili za watu ndio maana linapigwa figisu sana.

sitashangaa mbeleni likitegeshewa hata bomu
 
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la kufua umeme halina maji ila mabwawa mengine madogo ya wavuvi na mito ya around maeneo hayo yamejaa maji balaa!!

Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!

Kwa hali hiyo hata bwawa la mwl nyerere kufungwa mashine 2 tu mpaka sasa badala ya mashine 9 ni mipango ya watu

Kama akina mbowe, Lissu , Zitto waliweza kuwatetea acacia wanashindwa nini kuwasemea watanzania?
Acacia ni wa muhimu mno kuliko mabwawa ya maji?

#tutashitakiwa miga

View: https://www.instagram.com/reel/C3AWDRkuS9P/?igsh=MWo3MDM1MTFzZ mgzMA==

CHANZO CHA UMEME KUKATIKA SIKILIZA HIZO FIGISU ZINAZOFANYIKA NA MAJANGA TU

"Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!", sema watanzania tuko kimya, hilo si jukumu lao ni jukumu letu wote kwani sisi si wapangaji wao.
 
Catchment Area ya River Ruaha haiwezi kwenda as far as Kalambo. Catchment Area ni Wilaya za Mbarali, Makete, Wanging'ombe, Chunya, Mufindi, Kilolo, Iringa, Mpwapwa. Haiendi mbali hadi Rukwa na Katavi kwa sababu ya uwepo wa bonde la Ziwa Tanganyika. Maji hiangukia ziwani. Kwa mkoa wa Songwe na Kusini mwa mkoa wa Mbeya, kuna bonde la Ziwa Nyasa.
 
"Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!", sema watanzania tuko kimya, hilo si jukumu lao ni jukumu letu wote kwani sisi si wapangaji wao.
Muulize alieandama siku ile au aliweka matako nyumbai?
 
Hivi nchi inachezewaje kiasi hicho wakati vyombo vya usalama vipo? Ina maana JWTZ wanakaa kwenye Barracks tu? Hawana vitengo muhimu kama cha nishati, vyanzo vya maji, uchumi, Na TISS je? Na Jeshi la Polisi? Vyombo vya usalama please, come on!
 
raisi alipoapishwa tu safari yake kwanza ilikuwa ni egypt alikutana wajenzi wa Bwawa la Nyerere na picha zipo, the rest is history, wazungu wanasema dead on arrival hilo bwawa halitaisha maadamu awamu hii ipo madarakani kwani ndiyo sababu wako in power in the first place na siyo hilo tu hata sgr na miradi mingine yote haitafika popote …
 
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la kufua umeme halina maji ila mabwawa mengine madogo ya wavuvi na mito ya around maeneo hayo yamejaa maji balaa!!

Tuhuma nzito kama hii inatolewa na mbunge tena bungeni lkn Lisu, Mbowe, Zito Kabwe wako kimya!!!

Kwa hali hiyo hata bwawa la mwl nyerere kufungwa mashine 2 tu mpaka sasa badala ya mashine 9 ni mipango ya watu

Kama akina mbowe, Lissu , Zitto waliweza kuwatetea acacia wanashindwa nini kuwasemea watanzania?
Acacia ni wa muhimu mno kuliko mabwawa ya maji?

#tutashitakiwa miga

View: https://www.instagram.com/reel/C3AWDRkuS9P/?igsh=MWo3MDM1MTFzZ mgzMA==

CHANZO CHA UMEME KUKATIKA SIKILIZA HIZO FIGISU ZINAZOFANYIKA NA MAJANGA TU

Nyie mbwa Makonda si yupo wakuwatetea au mna joto mnataka kupandwa?
 
Back
Top Bottom