Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hebu fikiria nchi kama Kongo inapigana Vita miaka na miaka lakini timu yao ya taifa imeingia Nusu fainali mashindano ya mataifa huru Africa. Tanganyika imetolewa mapema ikiwapeleka akina Mwijaku...
1 Reactions
6 Replies
561 Views
Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt...
23 Reactions
80 Replies
7K Views
Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
M23 mambo hayawaendei vizuri. Wamepata pigo kubwa sana siku za karibuni. Wamepoteza wapiganaji 80. Lakini wao wanasema they were observing a ceasefire,kwa hiyo wameshambuliwa bila sababu na...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Picha: Kushoto ni Chongolo, kulia ni Thadei Ole Mushi Katiba mpya si mali ya chama chochote ni mali ya wananchi. Na katiba mpya si utashi wa chama kipi kitupatie ni takwa la wananchi kama...
13 Reactions
36 Replies
6K Views
Jana kuna mbunge amesema wakati Tanesco wanasema mvua zinazonyesha maji hayaingii kwenye mabwawa, yeye na kamati yake walienda kuangalia kama ni kweli anasema cha ajabu walikuta ni kweli bwawa la...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Haraka haraka kwenye mada, Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga na kulitetea Taifa letu na chama chetu Cha...
42 Reactions
156 Replies
12K Views
Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
2 Reactions
1 Replies
689 Views
SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DESEMBA, 2011 Ndugu Wananchi; Leo tunauaga mwaka 2011 na...
9 Reactions
189 Replies
21K Views
Uwezo ni pamoja na kuwa huru kufanya mahojiano bila kuyakatisha au kuahirisha. Nakumbuka wakati Rais Mkapa anaokwenda kufanya kipindi/mahojiano pale Hard Talk BBC na pale ndio nilielewa faida ya...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
RAIS wangu Samia Suluhu Hassan, kwa unyenyekevu mkubwa mama yetu mpendwa, leo ni siku yako ya kuzaliwa. Keki zimekatwa kila mahali nchi nzima kukusherehekea. Hongera sana Rais Samia kwa miaka...
34 Reactions
81 Replies
13K Views
1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Nawatakieni Nyote Jumatano yenye Baraka Tunasubiri Ujumbe kutoka kwa Mtumishi wa Mungu wa mbinguni Tundu Antipas Lissu Ahsanteni Sana 😂 Ahsante bwashee Tindo
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo. Ndio ameanza kuandaliwa taratibu...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza nilimuona Bwn.Joseph Kasheku (Msukuma) akiwa kwenye kipindi cha siasa Star TV, akatambulishwa kama Mwenyekiti wa CCM Geita. Sikumtilia maanani sana kwa kuwa alijaa majigambo...
4 Reactions
230 Replies
88K Views
Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Amar ameihoji Serikali ina mpango gani wa haraka kuzuia utekaji unaoendelea katika Jiji la Dar es Salaam. Miongoni mwa matukio matano ya watu kutekwa na kutoweka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maneno yasiwe Mengi. 1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu 2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema 3.. Katibu Mkuu - John Heche 4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali...
10 Reactions
96 Replies
6K Views
Naunga mkono hoja ya Mbunge,ni aibu hii Serikali ambayo haijigunzi Kwa makosa ya awali.Just imagine DaRT imewashinda na inapata hasara, daladala za mtaani zinapata faidia,Sasa kuuza mkaa ndio...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Back
Top Bottom