Nimetega Wasafi Tv, nasubiri Madini kutoka kwa Jasiri Tundu Antipas Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,107
Nawatakieni Nyote Jumatano yenye Baraka

Tunasubiri Ujumbe kutoka kwa Mtumishi wa Mungu wa mbinguni Tundu Antipas Lissu

Ahsanteni Sana 😂

Ahsante bwashee Tindo
 
John,

Nini kinaendelea nipo macho tangu saa 11 lakini mpaka sasa simsikii mheshimiwa Tundu Lissu.

Ni kwamba kusaga na diamond wameshapokea maagizo kutoka juu?
 
John,

Nini kinaendelea nipo macho tangu saa 11 lakini mpaka sasa simsikii mheshimiwa Tundu Lissu.

Ni kwamba kusaga na diamond wameshapokea maagizo kutoka juu?
Kwa Kawaida Tundu Antipas Lissu ni lazima asali misa ya asubuhi kila siku pale Parokiani

Nadhani sasa atakuwa yuko salon ya Wasafi wakimuandaa kimuonekano kabla y show 😀🔥
 
Nasubiri kusikia chochote toka kwa mliberali huyu,
Topic itakuwa ruzuku isiyo halali, aidha mapendekezo yaliyopitishwa na Bunge ambalo Chadema wana wabunge 19, halali.
 
Binafsi nimeamini Tundu Lissu ni mtu anayefuatiliwa. Nimeongea na rafiki yangu yupo nje ananiambia nilijua lazima kuna jambo lingetokea.

Mwenye sababu Kwanini mheshimiwa Tundu Lissu ajatokea kwenye kipindi? Na mbona hawatupi sababu wameamua kudanganya umma.
 
Binafsi nimeamini Tundulisu ni mtu anayefuatiliwa. Nimeongea na rafiki yangu yupo nje ananiambia nilijua lazima kuna jambo lingetokea.

Mwenye sababu Kwanini mheshimiwa Tundu lissu ajatokea kwenye kipindi? Na mbona hawatupi sababu wameamua kudanganya umma
Labda angeenda kule The Big Agenda kwa Mtozi 😂😂
 
Back
Top Bottom