Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Rubbish tetesi
 
Chadema Makini sana, kinaweza mtumia Mdude kwa uwezo wake, ila kumpa nafsi kubwa hivyo sio rahisi, kaa na tetesi zako.
 
Poa tu. napo huku kwengine

Raisi wa JMT atakuwa Mwenyekiti wa CCM

Makonda Makamu Mwenyekiti na Waziri Mguu

Katibu H.Polepole.

...CHADEMA dola mpaka 2050.
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Yani Lema ndio awe makamo mwenyekiti kabisa yani chama hakina watu kabisa kabisa 😂😂😂😂😂 ukiacha kuropoka Lema ana chanini cha ziada kuwa mwenyekiti? Elimu yake?
 
Back
Top Bottom