Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, leo ndio imefanyika Arobaini ya Simba wa Vita, Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa, ambapo Rais JK, ameongoza maelfu ya waliohudhuria iliyofanyikia nyumbani kwake Madale, nje kidogo ya jiji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kawaida rekodi ya mikutano ya kisiasa inatarajiwa kuvunjwa leo tena, CCM Leo inamalizwa kabisa kwenye jimbo hili. Wadau wote mnakaribishwa kwa updates .
6 Reactions
96 Replies
16K Views
"Mimi nimemkataa Lowassa kipindi bado anatisha , mungemchagua ningekuwa jela muda huu Mimi nilimkataa tokea Niko Umoja wa vijana namkumbuka niliitisha press na waandishi wa habari nilipotamka...
14 Reactions
133 Replies
20K Views
"Mzee Lowasa kuhamia kwake Chadema kulibadilisha kabisa mwelekeo wa siasa mwaka 2015 kwenye nchi hii, kwa sababu alikuwa ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa, jamii ilikuwa inamuelewa, na aliweza...
1 Reactions
5 Replies
633 Views
Sidhani kama kuna mtu huwa anasifiwa na Waswahili wa Darisalama kama mpishi wa misibani Ali Mapilau Cha ajabu Sifa hutolewa Wakati wamelizunguka Sinia la pilau lenye manyamanyama Shughuli...
2 Reactions
4 Replies
707 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini. "Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Kila mgeni anayetua hapa nchini naona anapokelewa Ikulu ya Dar, tulivyotangaziwa ni kuwa kukamilika Ikulu ya Dodoma ni kwamba shughuli zote za Rais zitakuwa ikulu ya Dodoma. Hivyo nilitegemea...
14 Reactions
118 Replies
6K Views
Hivi kweli Pambalu anajua wakati wao wanakimbia mabomu ya machozi kwasababu ya Kuvunja Sheria za nchi kwa msukumo wa Lissu na Mbowe, watoto wa Lissu na Mbowe wako zao US wanaogelea kwenye Swimming...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Kama Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Paulo Makonda ametuzuia kuto kwenda Mahakamani tena Nauliza mahakimu,wote na watumishi wa Mahakama mnasubilia kufanya kazi gni? Kuusema ukweli sisi...
1 Reactions
2 Replies
479 Views
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimefuatilia kiasi ziara za Bwana Paul Makonda a.k.a Ndugu Bashite mzee wa mikogo anazofanya sehemu mbalimbali kwenye ardhi hii ya "wadanganyika sugu" Shida zinazoibuliwa kama umaskini wa baadhi...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Tayari Jeshi la...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna...
23 Reactions
234 Replies
21K Views
Wiki hii imeshuhidia watu wawili wanaopaswa kuheshimika kwani ni Wabunge wakitoa maoni yanayopaswa kutolewa na Mjukuu wa mhusika anayesoma chekechea. 1. Wa Kwanza kupiga Boko alikuwa Mbunge wa...
19 Reactions
40 Replies
3K Views
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
"....Biteko huenda akabakia na cheo cha Naibu PM huku Nishati Kalemani akarejeshwa kwa sababu Paul alishamwombea msamaha toka mwaka jana. Si unajua Dk naye alikuwa ana mu-ignore bi mkubwa kipindi...
2 Reactions
11 Replies
964 Views
Nchimbi ni akili kubwa sana aliposema Watumishi wa Umma siyo maadui wa chama tafsiri yake ametumia hekima ya wazee wanaosema Mkeo akikosea anasemwa chumbani siyo hadharani,Kuku wako Manati ya nini...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Rejea thread niliyoanzisha ikisema, Waziri wa Nishati anafanya nini kikaoni wakati Nchi Iko gizani?- Rabbon. Hoja ya thread hapo juu ililenga kuuulizia ilipo nafasi ya waziri wa Nishati ambayo...
8 Reactions
121 Replies
5K Views
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom