Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
 
Mimi niko hapa Mwanza maandamano yanahamasishwa sana jana kuna gari tatu za matangazo zilikuwa hapa Kirumba wakati wa mechi ya Simba na Azam. Tutaandama tu iwe jua iwe mvua karibuni Mwanza.
 
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
Screenshot_2024-02-09-21-30-54-1.png
 
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
michango yao ya pesa kugharamia maandamano haijawavutia na kuwakosha kamati kuu Taifa 🐒

Maana asali ndio kila kitu kwa kamati kuu 🐒
 
Back
Top Bottom