Mwanasheria mkuu wa serikali/Jaji Mkuu mnasubiria nini kazini?Makonda kasema twende kwake kwa nini mwendelee kulipwa?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kama Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Paulo Makonda ametuzuia kuto kwenda Mahakamani tena

Nauliza mahakimu,wote na watumishi wa Mahakama mnasubilia kufanya kazi gni?

Kuusema ukweli sisi tunaenda kwake hatuji kwenye mahakama zenu tumeambiwa hakuna hakuna HAKI NA HATUJI NG'ODO.

JE KUZUIWA KWETU KUJA KWENU MNAJIFUNZA NINI?
 
Ilikuwa suala la muda tu. Sasa wameona jinsi walivyompa nafasi mtu mjinga na anayeweza kuleta shida kubwa katika taasisi rasmi za nchi
 
Back
Top Bottom