Chadema Wameshatoa Maoni yao kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi, yatafanyiwa kazi. Sasa kwanini Wametangaza maandamano kabla hawajajibiwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.

Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge na Katibu mkuu mh Mnyika, yamepokelewa na yanafanyiwa KAZI pamoja na maoni ya Wadau wengine.

Majibu ya maoni na hoja mbalimbali za wabunge yatawasilishwa kwenye Vikao Vya Bunge zima mwishoni mwa mwezi huu.

Tunajiuliza, Kwanini Chadema wanaitisha maandamano Wakati wameshiriki hatua zote za uandaaji wa miswada kwa Uaminifu mkubwa?

Je, kuandamana sasa Wakati maoni yao Yako Bungeni hawavunji sheria?

Kila Mdau aliyetoa maoni akitangaza maandamano Wakati Huu hoja zao zinapofanyiwa kazi na Kamati ya Bunge nchi Hii na raia wake watabaki salama?

Chadema fanyeni Siasa za Kisasa msiwe kama Hamas!

Dominica Njema 😄
 
Kama chama na viongozi wanayajua ya ndani ambayo ni nadra sana mimi na wewe kuyajua , ccm wahuni sana na nilazima uhuni huu kukomeshwa
 
Mbowe na Chalamila wanaact Sinema

Imekuwaje Mbowe aongee halafu dakika chache baadae RC Chalamila apate Jukwaa la kumjibia.mbele ya tv.ayoo 😂
ayo si ni CCM, chawa wa kufa na kupona! Chalamila anawaleta wanajeshi kwenye siasa, na Samia anamchekea, kuna siku watafanya jambo lao la kutaka urais, uwazii mkuu etc etc! You should not politicise the army, leave the army in the baracks!
 
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.

Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge na Katibu mkuu mh Mnyika, yamepokelewa na yanafanyiwa KAZI pamoja na maoni ya Wadau wengine.

Majibu ya maoni na hoja mbalimbali za wabunge yatawasilishwa kwenye Vikao Vya Bunge zima mwishoni mwa mwezi huu.

Tunajiuliza, Kwanini Chadema wanaitisha maandamano Wakati wameshiriki hatua zote za uandaaji wa miswada kwa Uaminifu mkubwa?

Je, kuandamana sasa Wakati maoni yao Yako Bungeni hawavunji sheria?

Kila Mdau aliyetoa maoni akitangaza maandamano Wakati Huu hoja zao zinapofanyiwa kazi na Kamati ya Bunge nchi Hii na raia wake watabaki salama?

Chadema fanyeni Siasa za Kisasa msiwe kama Hamas!

Dominica Njema 😄
Inaelekea ulisomea ujinga wewe, unataka majibu yaandikwe kwenye paji la uso wako?
 
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.

Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge na Katibu mkuu mh Mnyika, yamepokelewa na yanafanyiwa KAZI pamoja na maoni ya Wadau wengine.

Majibu ya maoni na hoja mbalimbali za wabunge yatawasilishwa kwenye Vikao Vya Bunge zima mwishoni mwa mwezi huu.

Tunajiuliza, Kwanini Chadema wanaitisha maandamano Wakati wameshiriki hatua zote za uandaaji wa miswada kwa Uaminifu mkubwa?

Je, kuandamana sasa Wakati maoni yao Yako Bungeni hawavunji sheria?

Kila Mdau aliyetoa maoni akitangaza maandamano Wakati Huu hoja zao zinapofanyiwa kazi na Kamati ya Bunge nchi Hii na raia wake watabaki salama?

Chadema fanyeni Siasa za Kisasa msiwe kama Hamas!

Dominica Njema 😄

Wewe jamaa una unafiki wa Hali ya juu.
 
Basi waandamane wao Viongozi
24= 6 ÷2 =3 kiimani iko vizuri

Mathayo

18:15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo. 16 La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike
Basi waandamane wao Viongozi
 
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.

Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge na Katibu mkuu mh Mnyika, yamepokelewa na yanafanyiwa KAZI pamoja na maoni ya Wadau wengine.

Majibu ya maoni na hoja mbalimbali za wabunge yatawasilishwa kwenye Vikao Vya Bunge zima mwishoni mwa mwezi huu.

Tunajiuliza, Kwanini Chadema wanaitisha maandamano Wakati wameshiriki hatua zote za uandaaji wa miswada kwa Uaminifu mkubwa?

Je, kuandamana sasa Wakati maoni yao Yako Bungeni hawavunji sheria?

Kila Mdau aliyetoa maoni akitangaza maandamano Wakati Huu hoja zao zinapofanyiwa kazi na Kamati ya Bunge nchi Hii na raia wake watabaki salama?

Chadema fanyeni Siasa za Kisasa msiwe kama Hamas!

Dominica Njema 😄
Ni vzr uweke na kifungu cha sheria walichovunja CDM juu ya hyo maandamano yao!! Unless otherwise.. acha uchawa umri umekimbia lkn bado una mentality za kina mwijaku!!!
 
Back
Top Bottom