Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Mbowe.jpeg

Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;

"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.

"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.

"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
=================================
For English Audience
Mbowe has written on his X website page:

"Our party team led by the Deputy Secretary-General, Mainland Hon. Benson Kigaila, has held a meeting with the Regional Police Commander of Dar Es Salaam Special Zone, ACP Jumanne Muliro, and his team regarding the peaceful protest planned and coordinated by CHADEMA on Wednesday, January 24, 2024.
" The agreement has been reached that the protest shall proceed as planned.
"I commend the Police Force for this wisdom. Welcome all Tanzanians, let's march peacefully.

Pia Soma; Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23
 
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa X;

"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.

"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.

"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Maandamano ya amani yamebeba ujumbe wa amani.

Mama siku hiyo anaenda ziara nje hana habari na kilio cha raia wake
 
Samahani jamani naulizia kitu ambacho hakiendani na mada, hivi huyu Benson Kigaila si yule ambae mke wake ni miongoni mwa wale tunaowaita COVID 19!? Nijibuni then nitasema kitu kwa manufaa ya wengi.
 
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa X;

"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.

"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.

"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Nyumbu hovyo kabisa, jumatano ni siku ya kazi. Ina maana wafanyakazi haya maandamano hayawahusu?
 
Samahani jamani naulizia kitu ambacho hakiendani na mada, hivi huyu Benson Kigaila si yule ambae mke wake ni miongoni mwa wale tunaowaita COVID 19!? Nijibuni then nitasema kitu kwa manufaa ya wengi.
Kama CCM wangesema ndiyoooo,
Chadema tunasema people's!
 
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;

"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.

"Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.

"Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani."
Aluta continue

R.I.P BEN SAANANE
 
Hapo kuna mamluki watatumwa makusudi na kufanya uhalifu ili ionekane makatazo ya kufanya maandamano yote hapo nyuma yalikuwa sahihi
Acheni utoto visingizio vya nini kabla ya maandamano? Yaani watu milion nane mshindwe kudhibiti panya road 10 siku hiyo? Labda kama mtawatuma waanzishe fujo halafu msingizie serikali
 
Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Kama mbowe kang'owa kipengele cha ukomo kwenye katiba ya chadema basi naunga mkono huku pia kiondolewe!
 
Back
Top Bottom