Je, uwekezaji finyu kwenye somo la Uraia, ni nia ya kuwafanya watu wasijue haki na wajibu wao ili kuiwajibisha Serikali?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto wanashidnwa kufaulu somo hili ambalo ni msingi wa wao kujua haki na wajibu wao ambao ndio msingi wa utawala bora na uwajibikaji.

1706256397593.png

Nikaenda kuangalia waliopata F yaani waliofeli somo hili, ama kwa hakika bado Civics haiko vizuri. Uraia (Civics) ni somo la kati kwa waliofeli kwa kuwa watu wamefeli zaidi hisabati, historia na Jiografia kisha wanafuatiwa na Uraia. Kiswahili ndio kimeonekana kuwa na watu wachache waliofeli wakifuatiwa na biologykisha kiingereza. Yaani watoto wa kidato cha nne, ni maridadi wa biolojia kuliko uraia, very strange.
1706256541262.png

Hata hivyo nimeona shida kwenye uwekezaji wa elimu ya Uraia, yaani Civics lina vitabu vichache zaidi kwa kulinganisha na masomo mengine. Hii ni kwa shule za serikali na binafsi kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI(BAEST). Somo lenye vitabu vingi ni hisabati.
1706256758229.png

Vitabu vya uraia ni 9% ya vitabu vyote vya masomo yanayosomwa na wanafunzi wote wa shule ya upili. Je, jambo hili ni la makusudi ili watu wasiwe na ufahamu wa kutosha kuhusu haki na wajibu wao katika taifa?
 
Masomo magumu ni kiswahili , Geography, na kingereza, .

Lakini Hesabu kupata F ni kujitakia, mana ndo soma rahisi kuliko yote , unatoka kwenye chumba Cha mtihani unajua umepata ngapi?

Vinginevyo walimu wanao fundisha ni wabovu, pamoja na ubovu wa waalimu unaweza hata kujifundisha na ukaperform vizuri
 
Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto wanashidnwa kufaulu somo hili ambalo ni msingi wa wao kujua haki na wajibu wao ambao ndio msingi wa utawala bora na uwajibikaji.

View attachment 2883141
Nikaenda kuangalia waliopata F yaani waliofeli somo hili, ama kwa hakika bado Civics haiko vizuri. Uraia (Civics) ni somo la kati kwa waliofeli kwa kuwa watu wamefeli zaidi hisabati, historia na Jiografia kisha wanafuatiwa na Uraia. Kiswahili ndio kimeonekana kuwa na watu wachache waliofeli wakifuatiwa na biologykisha kiingereza. Yaani watoto wa kidato cha nne, ni maridadi wa biolojia kuliko uraia, very strange.
View attachment 2883142

Hata hivyo nimeona shida kwenye uwekezaji wa elimu ya Uraia, yaani Civics lina vitabu vichache zaidi kwa kulinganisha na masomo mengine. Hii ni kwa shule za serikali na binafsi kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI(BAEST). Somo lenye vitabu vingi ni hisabati.
View attachment 2883146

Vitabu vya uraia ni 9% ya vitabu vyote vya masomo yanayosomwa na wanafunzi wote wa shule ya upili. Je, jambo hili ni la makusudi ili watu wasiwe na ufahamu wa kutosha kuhusu haki na wajibu wao katika taifa?
Serikali inataka kuwa na wajinga wengi maana ndiyo lengo lake
 
Masomo magumu ni kiswahili , Geography, na kingereza, .

Lakini Hesabu kupata F ni kujitakia, mana ndo soma rahisi kuliko yote , unatoka kwenye chumba Cha mtihani unajua umepata ngapi?

Vinginevyo walimu wanao fundisha ni wabovu, pamoja na ubovu wa waalimu unaweza hata kujifundisha na ukaperform vizuri
Hesabu ni nyepesi lakini, ni muhimu kwa watoto kujua uraia ili kutambua haki na wajibu wao kwa taifa lao
 
Hii ni kweli kabisa, mana wengine hawatambui kama Wana haki ya kuandamana, pia inasababisha jamii nyingi kuona mambo mengi yanayo fanywa na viongozi wa kitaifa yanafanywa kwa huruma za hao viongozi.
 
Imagine, tunatenga bajeti ya kuelimisha watu elimu ya mpiga kura, tunamfundisha mtu ambaye tumetumia zaidi ya bilioni 16 kila mwaka kwa miaka 11, kumuelimisha. Alikuwa anaelimishwa nini kama hajafundishwa haki ya kupiga kura nk
 
Uraia ni changamoto kuanzia chini mpaka juu (wananchi wa kawaida hadi viongozi).
Uraia unalinda haki za kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.
Jaribu kufikiria kidogo tu, uchumi asilimia kubwa unashikwa na wage ni, tena Luna tamaa kubwa ya kuwapatia zaidi.
2015 kuna mgeni alikamatwa na manoti mengi Dodoma, akihonga wajumbe wa CCM wamchague mtu wao, taarifa za wakimbizi kuteuliwa(siasa). Watu wetu wanahusudu na kuiga tamaduni za wageni kwa kiwango kikubwa.
Vyote hivi vinathibitisha uraia legevu
 
Mataifa mengine yamewekeza kwenye Elimu haswa na kuelewa haki zao ila sisi tumewekeza kwenye Ujinga zaidi
Wanataka kila anaeajiriwa azidi kuwanyonga tu wananchi kwa kila kitu
Mtu hajui haki zake na anaona kutoa rushwa ni wajibu wake
Sio kusomeshwa tu hata maofisi yote zilitakiwa waweke vipeperushi kuwafundisha watu wanachohitaji kujua
 
Mkuu huko Majuu nako ni hivi?
 
Masomo yoote hayo kwa hapa kwetu yamewekwa kwenye vitabu si kwa malengo ya kumjenga mwanafunzi/matanzania kujua haki na mioundo ya nchi yake inavyoendeshwa.

Vitabu vimejengwa kwa mfumo wa kumkalilisha mwanafunzi kufauru mitihani ya darasani tu. Hivyo hakujawekwa miongozo ya wazi kwa mwanafunzi/mtanzania kujua haki zake na mifumo ya nchi yake inavyoendeshwa.

Na ndio hivyohivyo na mwalimu anaefundisha analalamikia wanafunzi darasani kua watafeli mitihani, lakini anashindwa kuwafundisha wanafunzi wake kuelewa umuhimu wa kujua mifumo ya nchi yao. Hata anapokua kwenye shuguri zake au maisha yake akitaka haki ya kitu fulani aanzie wapi na aishie wapi.
ELIMU YA KITANZANIA NI YA KUKALILI ZAIDI NA SIO KUELEWA. UKIONA MWANAFUNZI KAELEWA UJUE NI AKILI ZAKE LAKINI SI KWASABABU YA KITABU WALA MWALIMU.

Vitabu wanavyosoma wanafunzi wa kitanzania vimewekwa mambo meengi yasio na msingi. Mwanafunzi anahangaika kukalili mwaka ulionzishwa CCM, atakalilishwa na vyama vilivyounda ccm vilikotokea na waliovianzisha. Tarehe na mwaka, na walikua wapi. Ni upuuzi tu.
 
Nyie professor wenu anakunywa juice kutoka Madagascar
Sisi tuna MaproPesa 😁 Bahasha mbele taaluma nyuma.

Bahasha likinona utasikia "ASANTE MUNGU MAGUFULI" halafu sisi Makapuku tunajiuliza hivi MUNGU huwa anakufa kwa Covid19😝 hatupati majibu wala majawabu.🤣
 
Masomo yoote hayo kwa hapa kwetu yamewekwa kwenye vitabu si kwa malengo ya kumjenga mwanafunzi/matanzania kujua haki na mioundo ya nchi yake inavyoendeshwa.

Vitabu vimejengwa kwa mfumo wa kumkalilisha mwanafunzi kufauru mitihani ya darasani tu. Hivyo hakujawekwa miongozo ya wazi kwa mwanafunzi/mtanzania kujua haki zake na mifumo ya nchi yake inavyoendeshwa.

Na ndio hivyohivyo na mwalimu anaefundisha analalamikia wanafunzi darasani kua watafeli mitihani, lakini anashindwa kuwafundisha wanafunzi wake kuelewa umuhimu wa kujua mifumo ya nchi yao. Hata anapokua kwenye shuguri zake au maisha yake akitaka haki ya kitu fulani aanzie wapi na aishie wapi.
ELIMU YA KITANZANIA NI YA KUKALILI ZAIDI NA SIO KUELEWA. UKIONA MWANAFUNZI KAELEWA UJUE NI AKILI ZAKE LAKINI SI KWASABABU YA KITABU WALA MWALIMU.

Vitabu wanavyosoma wanafunzi wa kitanzania vimewekwa mambo meengi yasio na msingi. Mwanafunzi anahangaika kukalili mwaka ulionzishwa CCM, atakalilishwa na vyama vilivyounda ccm vilikotokea na waliovianzisha. Tarehe na mwaka, na walikua wapi. Ni upuuzi tu.
Nakuelewa, ila uwepo wa vitabu unaonesha nia yetu kuwahikisha watoto wanajua haki na wajibu wao. Bila mtu kujua haki na wajibu nakuambia watu wataendelea kuona umasikini ni raha na hawataiwajibisha serikali yao
 
Kuna umuhimu wa kubadili mfumo wa vitabu na ufundishaji.ili hata mtoto ajue, akikwama wapi aende wapi. Ila utashangaa hata aliefauru vizuri masomo hayo hata akikwama mahali hajui aanzie wapi aishie wapi.
 
Sisi tuna MaproPesa 😁 Bahasha mbele taaluma nyuma.

Bahasha likinona utasikia "ASANTE MUNGU MAGUFULI" halafu sisi Makapuku tunajiuliza hivi MUNGU huwa anakufa kwa Covid19😝 hatupati majibu.🤣
Akili zinawatosha wao halafu wanaona wengine mafala zaidi
Hivi unakumbuka aliposema huwa anawaza awachezeshe mpira wanajeshi yaani kama ni goalkeeper ni hapo tu asubuhi, mchana ,jioni kila siku wacheze mpira tu eti ndio atapata timu ya taifa
Hizo ndio akili za mwafrika
 
Back
Top Bottom