Kwanini maombi ya Uraia siku hizi si lazima yapite kwenye kamati za Usalama za Mikoa? Kwanini Waziri akumbatie mamlaka nzima yakutoa uraia peke yake?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Kuna makosa tumefanya kama nchi, zamani ombi la uraia lazima ulipeleke kwenye kamati za ulinzi na usalama na ilikuwa vigumu sana kupata uraia.

Alipopewa wizara Laurence Masha akapokonya hayo madaraka madaraka akawa anatoa uraia yeye pale anapojisikia. Mawaziri waliofutwa nao wakawa wanafanya hivyo. Leo hii hakuna umuhimu wakupitisha ombi huko badala yake Waziri anaamua anavyoona yeye inafaa.

Kwa kauli ya CDF hatuoni kwamba ni muda sasa maombi yote ya Uraia yakaanzia kwenye kata, wilaya na Mkoa kabla ya kufika kwa waziri? Je siyo muda muafaka sasa kwenda kuangalia Mh. Waziri ofisini kwake ana watu wangapi wamepeleka maombi ya Uraia na kwanini wamekwepa kamati za ulinzi na usalama?

My cousin ilimchukua 15 yrs anafuatilia uraia wa mume wake ambaye alikuwa na fedha na uwekezaji mkubwa lakini Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza ilimkatalia with facts hadi alipotimiza masharti lakini pia walipoona amezeeka na ana muda mfupi kuishi ndipo wakamkubalia aandikishwe kama RAIA. Kwanini tumeacha hii misingi ya vetting?

Kwani uraia wa Tanzania una haraka? Is it ana emergency hadi kumkabidhi dhamana mtu mmoja? Let assume waziri wa mambo ya ndani ni kama alivyokuwa Kangi Lugola......kwa zile akili aliwapa wageni wangapi uraia?

Lakini pia nimeona one of my friend alipata uraia kwa kilichoitwa kuhalalisha Utanzania. Huyu bwana alidanganya akapata pasipoti, baadaye akakamatwa kwa kudanganya. Wakati anakaribia kufikishwa mahakamani nikiwa nimemwekea dhamana akafanikiwa kwenda kwa mwanasiasa mmoja it was last year.

Alipokwenda huko ikapigwa simu Uhamiaji yule bwana akaambiwa akatipoti Kurasini. Alipofika Kurasini pamoja uhalifu wake wote akapewa fomu za uraia then after 3 months akapewa cheti cha uraia. Je, kuna uraia unatolewa kwa mgeni aliyegushi nyaraka za Tanzania? Kwa sheria gani ambayo mtu anagushi nyaraka then akikamatwa anapewa na uraia? That guy gave that politician only 35 Milion to be registered as Tanzania citizen.

Wanasiasa wasipopokonywa mamlaka za kisheria walizopewa tutaendelea kuwalaumu watumishi wa umma kumbe wanapokea amri tu.

Tulinde nchi yetu kwa kufanya mabadiliko ya sheria na Katiba ..wanasiasa wataangamiza nchi kama alivyotaadgarisha CDF
 
Kuna watu mna akili za kijima saña, hadi barua ya mtendaji mnagoñga muhuri wa confidential.

Africa is one, kajifuñze walichokifanya Schengen countries kama unajuwa hata maana ya Schengen.
 
Acha upumbavu wako uraia sio kama karanga ununue kila mahali.
 
Hii shida ya kuhodhi madaraka imeambukizwa Hadi huku vyuo vikuu mpaka wakuu wanapanga mambo Yao wanavyotaka. Hakuna check and balances.

Zamani we had decentralIzed decisions lakini kadri tunavyoingia kwenye ubinafsi Kila mtu anajitengenezea kingdom yake ya influence huku raia wakinyang'anywa mamlaka katika nchi Yao. Imetemngeneza cliques at different level na Kila kundi limejijengea maslahi yake binafsi. Mambo ya utaifa yamewekwa pembeni ni mwendo wa "chawa na wakuu"

Hii hali Inabidi iangaliwe na kutafuta njia bora ya kuikomesha haraka sana
 
Mkuu;

Usijitaabishe bure, dunia zimebadilika ni kijijini sana, nyakati zimebadilika, mitazamo imebadilika, mazingira yamebadilika, itikadi zimebadilika pia, siasa zimebadilika kabisa, maarifa na teknolojia zimebadilika tupo digital!

Usipobadilika ukabaki enzi za ujamaa! Utaumia saaana!

Unavyoongea utadhani kuna mamilioni ya wahamiaji yanaingia nchini kila siku! Utadhani tuna uchumi mkubwa kihivyo kiasi cha kuvutia watu!

Ukijawa na chuki utadhani ndio uzalendo! Chuki huweka upofu machoni na moyoni mwa mtu!

Badilika na wakati!

Nenda na majira!
 
Kuna makosa tumefanya kama nchi, zamani ombi la uraia lazima ulipeleke kwenye kamati za ulinzi na usalama na ilikuwa vigumu sana kupata uraia.

Alipopewa wizara Laurence Masha akapokonya hayo madaraka madaraka akawa anatoa uraia yeye pale anapojisikia. Mawaziri waliofutwa nao wakawa wanafanya hivyo. Leo hii hakuna umuhimu wakupitisha ombi huko badala yake Waziri anaamua anavyoona yeye inafaa.

Kwa kauli ya CDF hatuoni kwamba ni muda sasa maombi yote ya Uraia yakaanzia kwenye kata, wilaya na Mkoa kabla ya kufika kwa waziri? Je siyo muda muafaka sasa kwenda kuangalia Mh. Waziri ofisini kwake ana watu wangapi wamepeleka maombi ya Uraia na kwanini wamekwepa kamati za ulinzi na usalama?

My cousin ilimchukua 15 yrs anafuatilia uraia wa mume wake ambaye alikuwa na fedha na uwekezaji mkubwa lakini Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza ilimkatalia with facts hadi alipotimiza masharti lakini pia walipoona amezeeka na ana muda mfupi kuishi ndipo wakamkubalia aandikishwe kama RAIA.....kwanini tumeacha hii misingi ya vetting?

Kwani uraia wa Tanzania una haraka? Is it ana emergency hadi kumkabidhi dhamana mtu mmoja? Let assume waziri wa mambo ya ndani ni kama alivyokuwa Kangi Lugola......kwa zile akili aliwapa wageni wangapi uraia?

Lakini pia nimeona one of my friend alipata uraia kwa kilichoitwa kuhalalisha Utanzania. Huyu bwana alidanganya akapata pasipoti, baadaye akakamatwa kwa kudanganya. Wakati anakaribia kufikishwa mahakamani nikiwa nimemwekea dhamana akafanikiwa kwenda kwa mwanasiasa mmoja it was last year. Alipokwenda huko ikapigwa simu Uhamiaji yule bwana akaambiwa akatipoti Kurasini. Alipofika Kurasini pamoja uhalifu wake wote akapewa fomu za uraia then after 3 months akapewa cheti cha uraia.......Je, kuna uraia unatolewa kwa mgeni aliyegushi nyaraka za Tanzania? Kwa sheria gani ambayo mtu anagushi nyaraka then akikamatwa anapewa na uraia? That guy gave that politician only 35 Milion to be registered as Tanzania citizen.

Wanasiasa wasipopokonywa mamlaka za kisheria walizopewa tutaendelea kuwalaumu watumishi wa umma kumbe wanapokea amri tu.

Tulinde nchi yetu kwa kufanya mabadiliko ya sheria na Katiba ..wanasiasa wataangamiza nchi kama alivyotaadgarisha CDF
Mkuu hao wanasiasa ama mawaziri hawavunji sheria. Waliofanya mabadiliko ya sheria, walifanya hivyo kwa kupokea maoni ya wananchi ili kuondoa shida iliyokuwepo kwenye utaratibu wa zamani!
 
Mkuu;

Usijitaabishe bure, dunia zimebadilika ni kijijini sana, nyakati zimebadilika, mitazamo imebadilika, mazingira yamebadilika, itikadi zimebadilika pia, siasa zimebadilika kabisa, maarifa na teknolojia zimebadilika tupo digital!

Usipobadilika ukabaki enzi za ujamaa! Utaumia saaana!

Unavyoongea utadhani kuna mamilioni ya wahamiaji yanaingia nchini kila siku! Utadhani tuna uchumi mkubwa kihivyo kiasi cha kuvutia watu!

Ukijawa na chuki utadhani ndio uzalendo! Chuki huweka upofu machoni na moyoni mwa mtu!

Badilika na wakati!

Nenda na majira!

Ebu jisome tena...Acha stress zako. Kwahiyo kubadilika Kwa Dunia Kuna uhusiano gani na tabia ya ubinafsi...
 
Mkuu hao wanasiasa ama mawaziri hawavunji sheria. Waliofanya mabadiliko ya sheria, walifanya hivyo kwa kupokea maoni ya wananchi ili kuondoa shida iliyokuwepo kwenye utaratibu wa zamani!
We nadhani ndiye haswa anayelengwa na CDF...acha ku panic, do what is right usitusumbue sisi raia wa Tanzania ambao hatuna kwetu kwingine.
 
hoja imewashinda au mko dhaifu sana kudhibit hisia zenu,
mitusi ya nini sasa🐒

twaweza kubaliana kutofautiana kiungwana Kabisa bila matusi 🐒

kuna matusi ya kisiasa kama ni mwanataaluma mnawezatumia hayo ila haya ya wazi ya mtaani hapana....
 
Back
Top Bottom