Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Kulingana na kanuni za Bunge chama kinaweza kuunda serikali kivuli endapo angalau kitakuwa na wabunge wasiopungua 21 na kiwe kimepata angalau (12%)? ya kura za urais (ready to be corrected).
Kwa mantiki hiyo hadi sasa Chadema kina wabunge 22 na kimepata zaidi ya 26% ya kura za urais hivyo kukifanya kiwe na uwezo wa kuunda serikali kivuli bila kushirikisha vyama vingine.
Mbali ya Chadema kuwa na wabunge 22 inatarajia kuongeza viti hivyo kupitia viti maalum (women special seats) ambazo zitakuwa kama ifuatavyo (just an estimate).
Total special seats is around 75 nikichukulia idadi ya 2005 zinagawanywa kwa uwiano (propotional representation) wa jumla ya kura za ubunge. In order to qualify for a special seat a political party need to obtain at least 5% of all valid votes for parliamentary election. Ni vyama vitatu tu vime-qualify.
Hapa nitatumia propotional (ratio) ya kura za urais ambazo hazitofautiani sana na za ubunge:
75 seats: 5.1: 2.1: 0.7 for CCM, CDM and CUF respectively, utaona kuwa Chadema kitapata at least 20 more special seats na kufanya jumla kiwe na wabunge 22 + 20 = 42 idadi ambayo inakiruhusu kuunda serikali kivuli.
Kwa hiyo basi sanjari na Chadema kuendeleza mapambano ya kupinga matokeo kisisahau jukumu lake kuu jingine (alternative cource) ambalo ni kuwa chama kikuu cha upinzani kitu ambacho hakuna mtu atapinga kwa hilo.
Ili kumuenzi Mwenyekiti wake Mh. Freeman Mbowe na kuiweka Chadema kwenye ramani ya dunia na masikio ya wengi napendekeza awe kiongozi mkuu wa upinzani bungeni, naamini ataweza kuleta changamoto ya kutosha ndani na nje ya bunge kuelekea uchaguzi wa 2015.