Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
414
1,139
Wasalaam Wakuu.............!!!

Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili

Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael Kembaki (Tarime Mjini),Japhary Chege(Rorya),Stanslaus Mabula (Nyamagana),Eric Shigongo,Mrisho Gambo,Abbas Tarimba,Geoffrey Pinda etc..........inshort 85% ya wabunge hawastaili kuingia bungeni

Mtu Kama Roma Mkatoliki anafaa sana Kiongozi............Kaanza harakati kitambo sana toka anasoma advanced na bado mpaka sasa anaziishi mambo zake,yupo vizuri kwenye kujielezea,Ana uzalendo wa hali ya juu kuliko watz wengi,amezaliwa kwenye harakati,akaishi kwenye harakati na kusimamia ukweli,akatakiwa afe kwa kusimamia ukweli na bado anaishi kwa kusimamia ukweli........jamaa uwa habadili msimamo kama angekuwa hivyo basi leo hii angesha achana na mambo ya kusema ukweli na yeye pia akawa chawa kama wasanii wengine..........Alikuwa mwiba sana wakati wa Jakaya kuliko ata CHADEMA yenyewe ila jiwe alimuogopa sana ikambidi amsigine

Nay WA Mitego;Huyu jamaa bwana anastaili sana kuingia bungeni,asisubiri siku zikatike ndio agombee,2025 achukue form Nina hakika atashinda kwani vijana wengi wanamkubali na harakati zake kwenye jamii zinaonekana............alianza kusimama kwa ajili ya ukweli toka Enzi za JK akaja Pombe na mpaka sasa SSH bado haogopi,anaendelea kuuelimisha umma kupitia muziki ila kwa sasa anapaswa akawe Rais wa kitaa pale Bungeni

Watu mlio karibu na hawa Mabwana ninawaomba muwafikishie hizi Salam,nchi inawahitaji kuliko ambavyo wao wanaihitaji nchi hii

Mjomba paschal Mayalla na wewe tafuta jimbo ila shida ushaanza kuwa chawa sana
 
Bado haujaeleweka nyoosha maelezo unatumia fake ID humu hauwezi kunyang'anywa uraia na kuporwa passport
Haha hujaelewa kweli hapo au kipindi Roma anatekwa bado hukuwa na uwezo wa kupambanua mambo mkuu?
Aliyehusishwa na utekaji ule na sasa kapewa rungu nae humjui?🤣
 
Wasalaam Wakuu.............!!!

Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili

Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael Kembaki (Tarime Mjini),Japhary Chege(Rorya),Stanslaus Mabula (Nyamagana),Eric Shigongo,Mrisho Gambo,Abbas Tarimba,Geoffrey Pinda etc..........inshort 85% ya wabunge hawastaili kuingia bungeni

Mtu Kama Roma Mkatoliki anafaa sana Kiongozi............Kaanza harakati kitambo sana toka anasoma advanced na bado mpaka sasa anaziishi mambo zake,yupo vizuri kwenye kujielezea,Ana uzalendo wa hali ya juu kuliko watz wengi,amezaliwa kwenye harakati,akaishi kwenye harakati na kusimamia ukweli,akatakiwa afe kwa kusimamia ukweli na bado anaishi kwa kusimamia ukweli........jamaa uwa habadili msimamo kama angekuwa hivyo basi leo hii angesha achana na mambo ya kusema ukweli na yeye pia akawa chawa kama wasanii wengine..........Alikuwa mwiba sana wakati wa Jakaya kuliko ata CHADEMA yenyewe ila jiwe alimuogopa sana ikambidi amsigine

Nay WA Mitego;Huyu jamaa bwana anastaili sana kuingia bungeni,asisubiri siku zikatike ndio agombee,2025 achukue form Nina hakika atashinda kwani vijana wengi wanamkubali na harakati zake kwenye jamii zinaonekana............alianza kusimama kwa ajili ya ukweli toka Enzi za JK akaja Pombe na mpaka sasa SSH bado haogopi,anaendelea kuuelimisha umma kupitia muziki ila kwa sasa anapaswa akawe Rais wa kitaa pale Bungeni

Watu mlio karibu na hawa Mabwana ninawaomba muwafikishie hizi Salam,nchi inawahitaji kuliko ambavyo wao wanaihitaji nchi hii

Mjomba paschal Mayalla na wewe tafuta jimbo ila shida ushaanza kuwa chawa sana
labda bungee la wananchi kule space kwa maoni yangu 🐒
 
Diaspora wote warejee Nyumbani tuunganishe nguvu CCM haina muda mrefu.
 
Wazee wa washeli wanamchora ROMA!! Video zake bado wanazo. Kiongozi wao kapewa rungu kwa mara nyingine..

Unashaangaa!!!
Lakini pia tuna ushahidi na afisa msemaji wa ile kampuni ya madalali wa kijani na njano kuwa na yeye uwa wanamtia mshipa

Siku nikikaa vizuri nitamtumia Da' Mange Kimambi................ila nitahitaji mzigo wa maana

Yule semaji ni Choko na nina ushahidi kama Kuna ndugu yake humu ndani Mwambieni ninakwenda kumlipua kabla ya huu mwaka haujaisha
 
Back
Top Bottom