Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
464
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.
 
Huyo kama nyota yake inang'aa, basi ni katika kudhulumu, haki za kuishi raia wengine!

Hakuna eneo linguine, ambalo utasema kuwa nyota ya huyo kijana wako inang'aa

Ushahidi kuna nchi moja ya Magharibi, imempigs marufuku yeye na familia yake yote, marufuku kukanyaga tena katika Ardhi ya nchi hiyo!
 
Naunga mkono hoja, Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Atafika
P
 
Huyo kama nyota yake inang'aa, basi ni katika kudhulumu, haki za kuishi raia wengine!

Hakuna eneo linguine, ambalo utasema kuwa nyota ya huyo kijana wako inang'aa

Ushahidi kuna nchi moja ya Magharibi, imempigs marufuku yeye na familia yake yote, marufuku kukanyaga tena katika Ardhi ya nchi hiyo!
Kuwekewa vikwazo kuingia USA ni kitu cha kawaida sana husisani kama kuna vitu unaenda nao tofauti.

Mfano:
- kupinga ushoga

Ninachikisema ni kwamba huyo kijana wangu Makonda nyota yake inang’aa sana na mimi binafsi namuombea kwa Mungu afike pale ambapo Mungu amempangia kufika.
 
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.
Mungu yupi?

Labda mungu na si Mungu
 
Hivi kazi ya mwenezi ni kutatua Kero za wananchi? Kwakweli tunahitaji katiba mpya haraka mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.
 
Huyo kama nyota yake inang'aa, basi ni katika kudhulumu, haki za kuishi raia wengine!

Hakuna eneo linguine, ambalo utasema kuwa nyota ya huyo kijana wako inang'aa

Ushahidi kuna nchi moja ya Magharibi, imempigs marufuku yeye na familia yake yote, marufuku kukanyaga tena katika Ardhi ya nchi hiyo!
Nyie ndio mtabak kuwa watumaa wa mabenebru
 
Huyu aliyedanganya mchana kweupe kuwa Chadema wamependekeza tuwe na wabunge zaidi ya 700?
Huyu ambaye US walisema anadhulumu uhai wa binadamu wenzie?
Punguza uchawa
 
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.
Huyo muhalifu kapata jukwaa la kujisafisha na nongwa yake ni chadema. Anachofanya muhalifu Makonda ni kuhadaa wananchi, viongozi wote wa huko apitapo ni wa ccm baada ya uchaguzi wa kihayawani wa 2019-20. Hao wote huko washindwe kutatua kero za wananchi, bali huyo take away ndio aweze kwa siku Moja akiwa juu ya VXR?

Kabla hajaanza hizo ziara tatizo la umeme lilikiwepo, na Hadi sasa lipo. Tatizo la ajira lilikuwepo na Hadi sasa lipo, tatizo la mfumuko wa bei lilikuwepo, na Hadi sasa lipo, na Wala hataweza kuyatatua.

Anachokifanya ni mizangaombwe ya miaka yote ya ccm kutengeneza mazingira ya wizi wa kura kuelekea uchaguzi. Hakuna matatizo yoyote ya kweli ya nchi hii yanatatuliwa kwa mtindo wa mikutano ya kusaka kiki.
 
Kuwekewa vikwazo kuingia USA ni kitu cha kawaida sana husisani kama kuna vitu unaenda nao tofauti.

Mfano:
- kupinga ushoga

Ninachikisema ni kwamba huyo kijana wangu Makonda nyota yake inang’aa sana na mimi binafsi namuombea kwa Mungu afike pale ambapo Mungu amempangia kufika.
Kwa nyie wazee ni rahisi kuamini hizo hadaa, maana miaka yote mmekuwa mkifanyiwa hadaa za aina hiyo. Hakuna matatizo ya kweli yanatatuliwa kwa maigizo ya kupita barabarani ukiwa juu ya VXR. Anachokifanya Makonda ni kutumia mbinu za kizee kuhadaa watu zama hizi.
 
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua.

Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine wamuone kama anajijenga yeye badala ya chama. Maneno ya uchochezi.

Wananchi walikosa mtu wa kuwasikiliza kero zao; Mungu kamleta Makonda tena. Hakikisha kero zinamfikia Rais wetu mpendwa ambaye pia amejaliwa kuwa na usikivu na bahati nzuri ana final say.

Binafsi namuombea afike pale ambapo Mungu amempangia!

Hayo ni yangu ya moyoni kabisa.
usilitaje Bure jina la bwana Mungu wako
 
Mtu mzima na akili zako unajigeuza kuwa CHAWA wa binadamu mwenzako! Aibu gani hii!!
 
Kilichotukuka machoni pa wanadamu huwa ni Chukizo mbele za Mungu! Mbele za Mungu hatujui yukoje!
 
Back
Top Bottom