Naibu waziri ( Tamisemi) Dr Festo Dugange aliyepata Ajali ya gari na kuvunjika kidole miezi 3 iliyopotea leo amerejea Ofisini na kupokelewa kwa tabasamu na tashwishwi na Watumishi wa Wizara
Mungu...
Salaam,Shalom!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi anazoandika Mtoto wa Mwalimu, Ndugu Andrew Nyerere. Kuelewa anachokiandika au kukisema, unahitaji akili ya ziada kutafuta Maarifa ya kufungua...
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya...
Habari Wakuu!
Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)
Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani...
Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake.
Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria.
Mamia kama si maelfu ya...
•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata...
Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema
"Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na...
Hawa wabunge wanawasemea wananchi gani huko bungeni?
Au wana taifa lao siyo hili la Tanzania?
IQ ya wabunge hawa ipoje,kuna vitu ni vipaombele kwa sasa vinaumiza wananchi.
Unazungumzia vazi la...
Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema,
"Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024"
CHADEMA...
Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana !
Kailoga bila huruma kabisa !
Kwa mwenye akili, ni dharau kubwa mtu akakuita akasema anataka kuusikia ushauri wako, kumbe mtu huyo alikwishafanya maamuzi yake tayari. Kwa hiyo ushauri wako kwake inakuwa ni kukupotezea muda kwa...
Hawa wote wameongoza taasisi ambazo malalamiko hayakomi dhidi ya Taasisi hizo. Badru amwewahi kulalamikiwa sana kuhusu utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Huyu amekuwa akilindwa sana...
Naibu waziri wa Viwanda na biashara Mhe. Ashatu Kijaji alifanya ziara kutembelea baadhi ya Viwanda vya sukari na alitembelea kiwanda kilichopo mkoani Manyara ambapo alikuta kimesitisha uzalishaji...
Tanzania ni nchi ambayo wanasiasa wa ngazi zote awalipi kodi kwa mapato yao. Hakuna diwani, mbunge wala waziri anayelipa kodi nchini. Wote wametunga sheria za kujiwekea kinga.
Wabunge na mawaziri...
Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa.
Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa...
UKIPEWA MADARAKA FANYA KAZI, LETA UBUNIFU, TATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI, ACHA KUWASAGIA KUNGUNI VIONGOZI WENZAKO
Na Comrade Ally Maftah
Nitakuwa wa kwanza kuumgana na Ndugu Paul Makonda ( Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Christian Makonda Katibu wa itikadi , uenezi na mafunzo wa CCM Taifa siku ya jana akihutubia ma elfu kwa Malaki ya wananchi mkoani katavi amewajibu kwa...
Nimemsikiliza vizuri Katibu mwenezi wetu wa CCM. Comred Paul Makonda akiwajibu washambulizi wake kuwa usomi wao usitumike kututesa bali utusaidie kutatua changamoto zetu za kila siku. Kauli hii...