Maandamano CHADEMA yasogezwa mbele

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema,

"Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024"


CHADEMA imesema mabadiliko hayo yamekuja baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela kuwaeleza kuwa Uwanja wa Furahisha utakuwa na matumizi mengine Februari 13.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Back
Top Bottom