Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Hawa wabunge wanawasemea wananchi gani huko bungeni?
Au wana taifa lao siyo hili la Tanzania?
IQ ya wabunge hawa ipoje,kuna vitu ni vipaombele kwa sasa vinaumiza wananchi.
Unazungumzia vazi la taifa kwani inaliwa?kuanzia 2014 mnahangaika nalo yaani miaka 10 siyo kama ni kutafuta ulaji ni nini au hilo vazi mtaligawa bure.
Unazungumzia chuo cha uchambuzi wa michezo inasaidia nini badala ya Academy .
Unaacha kuzungumza kuhusu umeme tunakaa kwenye giza bishara haziendi unazungumzia picha ya mama kuwekwa kwenye sarafu,akili gani hizi?
Tunahitaji umeme wa uhakika, bei ya sukari ishuke, ajira n.k.
Mbunge kama hana hoja si atulie kuliko kuongea mashudu.