Edgar Mahokola Majogo yuko wapi?

Edgar Mahokola Majogo yuko wapi?

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Mbunge wa Nachingwea CCM

Waziri wa ulinzi serikali awamu ya Rais Mkapa

Anamilki silaha AK 47

Ana mashamba ya korosho kama dunia

yuko wapi?
 
Mkuu ww utakuwa ni mzee nini, mbona unaulizia wastaafu zama hizi?!
Huyu itakuwaa ndio wale wanao tapeli wastaaafu.
Kuna kampuni fulana nilifanya kazi niklkutana na binti wa huyu mstaafu.. huyo binti anaishi kigamboni ni mtu wa party sanaa so na hisi na mzee wake yupo huko wana ponda raha
 
Namkumbuka huyu mzee alikuwa jirani yetu Oysterbay mtaa wa Bongoyo,alikuwa na VW kobe yake rangi ya blue akiwa Naibu Waziri. Siku akirudi usiku amekolea vyombo ataingurumisha vewe hadi wese liishe ndiyo anaingia ndani.
 
Back
Top Bottom