Akihojiwa katika kituo cha runinga TBC 1, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameulizwa kuhusu kiongozi mkubwa waliokataa wito na kwenda kupima DNA baada ya kudaiwa kutelekeza mtoto...
Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA.
Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
1. Waziri wa Afya - out
2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out
3. Waziri wa kilimo - out
4. Waziri wa Elimu - out
5. Waziri wa Nishati - out
6. Waziri wa ardhi - out
7. IGP - OUT
8. Mkuu wa...
Nimefuatilia sana ziara za Makonda. Nilichogundua ni kwamba, ukiachilia mbali siasa lakini kwa zaidi ya 75% Makonda anafanana sana na JPM.
Anafanana katika kusikiliza kero za Watanzania na...
Umati wa mashabiki wa soka waliohudhuria game ya Simba dhidi ya Azam kwenye uwanja wa ccm Kirumba , leo umepata bahati ya Mtende ya kusikia moja kwa moja matangazo ya Kuhamasisha Maandamano hayo...
Wanabodi, leo ndio imefanyika Arobaini ya Simba wa Vita, Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa, ambapo Rais JK, ameongoza maelfu ya waliohudhuria iliyofanyikia nyumbani kwake Madale, nje kidogo ya jiji...
Kama kawaida rekodi ya mikutano ya kisiasa inatarajiwa kuvunjwa leo tena, CCM Leo inamalizwa kabisa kwenye jimbo hili.
Wadau wote mnakaribishwa kwa updates .
"Mimi nimemkataa Lowassa kipindi bado anatisha , mungemchagua ningekuwa jela muda huu
Mimi nilimkataa tokea Niko Umoja wa vijana namkumbuka niliitisha press na waandishi wa habari nilipotamka...
"Mzee Lowasa kuhamia kwake Chadema kulibadilisha kabisa mwelekeo wa siasa mwaka 2015 kwenye nchi hii, kwa sababu alikuwa ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa, jamii ilikuwa inamuelewa, na aliweza...
Sidhani kama kuna mtu huwa anasifiwa na Waswahili wa Darisalama kama mpishi wa misibani Ali Mapilau
Cha ajabu Sifa hutolewa Wakati wamelizunguka Sinia la pilau lenye manyamanyama
Shughuli...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini.
"Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua...
Kila mgeni anayetua hapa nchini naona anapokelewa Ikulu ya Dar, tulivyotangaziwa ni kuwa kukamilika Ikulu ya Dodoma ni kwamba shughuli zote za Rais zitakuwa ikulu ya Dodoma.
Hivyo nilitegemea...
Hivi kweli Pambalu anajua wakati wao wanakimbia mabomu ya machozi kwasababu ya Kuvunja Sheria za nchi kwa msukumo wa Lissu na Mbowe, watoto wa Lissu na Mbowe wako zao US wanaogelea kwenye Swimming...
Kama Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Paulo Makonda ametuzuia kuto kwenda Mahakamani tena
Nauliza mahakimu,wote na watumishi wa Mahakama mnasubilia kufanya kazi gni?
Kuusema ukweli sisi...
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons...
Nimefuatilia kiasi ziara za Bwana Paul Makonda a.k.a Ndugu Bashite mzee wa mikogo anazofanya sehemu mbalimbali kwenye ardhi hii ya "wadanganyika sugu"
Shida zinazoibuliwa kama umaskini wa baadhi...
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la...
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna...
Wiki hii imeshuhidia watu wawili wanaopaswa kuheshimika kwani ni Wabunge wakitoa maoni yanayopaswa kutolewa na Mjukuu wa mhusika anayesoma chekechea.
1. Wa Kwanza kupiga Boko alikuwa Mbunge wa...
Ni Ukweli ulio wazi Ule Mvuto wa Kitaasisi kwenye vyama vya Siasa haupo tena na sasa vyama vinatembelea Nyota za " Mashariki" za Watu binafsi
Kwa sasa Makonda ndiye CCM na Tundu Antipas Lisu...