Arobaini ya Simba wa Vita leo: Amaizing Coincidence! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arobaini ya Simba wa Vita leo: Amaizing Coincidence!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Feb 27, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,634
  Likes Received: 23,795
  Trophy Points: 280
  Wanabodi, leo ndio imefanyika Arobaini ya Simba wa Vita, Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa, ambapo Rais JK, ameongoza maelfu ya waliohudhuria iliyofanyikia nyumbani kwake Madale, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

  Nilipokuwa nikitafakari, terehe hii ya leo ya Arobaini ya Mzee wetu huyu, kumbukumbu ikanirudia, hebu soma hapa..
  "Rashid Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe February 27, 1926 katika kijiji cha Matepwende, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Tanzania". What a coincidence!.

  Kama hiyo haitoshi, katika pita pita kusalimiana na huyu na yule kwenye arobaini hii, nikakutana na mmoja wa mabinti Kawawa kwa jina la Zamaradi,
  akasema tarehe ya leo, sio tuu ni siku ya kuzaliwa kwa baba yao, bali pia ndiyo siku aliyofariki mama yao!, yaani mmoja kati ya wake zake, alifariki siku ya birthday ya mumewe!.

  Juu ya yote hayo, alifariki siku ya mkesha wa mwaka mpya, msiba siku ya mapumziko ya mwaka mpya, na Arobaini yake siku ya Maulid ya Mtume Mohammad (SAW).

  What an amaizing coincidence!.

  Kwa waumini wa nature, there is no such a thing as coincidence, kila kitu kinatokea for a reason, na every move is pre meditated move and precise calculated kama 'De ja vu'!.

  RIP Simba wa Vita, Rashidi Mfaume Kawawa.
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  Amazing indeed!
   
 3. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Well its a big coincidence but sad too and memorable at the same time. Hivi mzee kawawa ni mwenyeji wa Ruvuma nilkuwa sijui hili swala, historia wengine imepiota mbali kweli kwa mtindo huu
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,634
  Likes Received: 23,795
  Trophy Points: 280
  Ni mtu wa Ruvuma na hii ni plus ya watu wa makabila ya huko, they are humble and down to earth, ndio maana kila alipopelekwa alikubali kwa moyo mkunjufu bila donge.

  Mzee mpaka leo ukikutana na EL utaiona smile usoni inayokuwa betrayed ya macho yanathibitisha donge moyoni.
  Rashidi alikuwa Waziri Mkuu na Makamo wa pili wa rais was always smilling, , akashushwa akawa waziri wa kawaida still smilling, akafanya waziri asiye na wizara maalum, still smiling!. leo mtu katemeshwa UPM ananuna mpaka basi!.
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 18,355
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  Na siku mkewe aliyofariki ndiyo ikawa arobaini ya mumewe,siku ambayo awali ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mumewe,yani ni kama chain reaction flani hivi,what a coincidence indeed.
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wow!He was very luck.I think this is not a coincidence instead it is God's Incidence.
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Halafu mbaya zaidi ni kwa makosa yake mwenyewe ma uamuzi aliuchukuwa mwenyewe watu bana
   
 8. annamaria

  annamaria Senior Member

  #8
  Feb 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kina Kawawa walitaka authority ili wahudumie watu lakini sisi wa sasa tunataka power so as to serve our own interests.
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Si hivyo tu, leo pia ni Maulidi na Maziko ya Mwakawago.

  Unanikumbusha na mimi Birthday yangu ni 1st January ambayo pia ni New Year na pia Wedding day, Of course dunia yote huwa wako likizo wakisherehekea Birth Day yangu na Anniversary.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,463
  Likes Received: 117,261
  Trophy Points: 280
  Hii unaweza kupanga ili iwe hivyo na watu wengi hufanya hivyo ili siku ya wedding iwe ni birthday ya muhusika mmoja.
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,517
  Likes Received: 7,271
  Trophy Points: 280
  ingekuwa sheikh yahaya ndio kasema hayo nadhani hii nyuzi ingejaa na criticism za kufa mtu
   
 12. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mwenyezi Mungu alaze roho yake pema peponi...AMINA
   
 13. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,257
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwani leo ndio siku ya arobaini toka Mzee Kawawa afariki? hii ya kuazimishwa leo sio litu kilichotokea naturally, ni watu tu wakakaa na kupanga ifanyike siku iliyokuwa ya birthday yake.
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,018
  Likes Received: 6,831
  Trophy Points: 280
  Ooooooooooohh 2all the coincedence now is
  loughing with jesus
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Negro , what r u talking about. Mnaanza kuungaunga matukio hapa naona hata yasiyohusiana. Mnatafuta miujiza kama kawa eeh? Endeleeni ndio maana akina Pastor Hummer wanawapiga za uso..
   
 16. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #16
  Feb 28, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,235
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  pia walisogeza mbele kwa sababu ya msiba wa mwanae
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...