Ukiona marafiki zako wanadondoka, jua the time is not right

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,237
4,049
Ni msemo, kwenye maisha, ukiona watu wako wa karibu mliokuwa pamoja tangu enzi za ujana na utafutaji na struggle za kutoboa kwenye maisha wanadondoka kwa mfululizo Jua muda sio rafiki

and it should tell time is not right .

The president that never was, ENL

EDO , RIP the best president that never was.
 
Kama sio mda wako unakaribia basi wewe ndio chanzo cha kuondoka kwa wenzako
 
Najua unayemlenga lakini mambo ya ahdi huwezi kujua, unaweza kuanza wewe yeye akafuata........
Long life JK, mzee usiyekuwa na baya na mtu....hata maadui zako wanashangaa unawezawezaje!
 
Back
Top Bottom