Lowassa ni Powerful Kuliko ya JK?!

Lowassa ni Powerful Kuliko ya JK?!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
58,847
Reaction score
132,095
Wanabodi,

Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.

NB. Hapa naulizia kuhusu power comand na capabilities, hatuzungumzii issues za ufisadi. Kama hujui lolote kuhusu power, command na capabilities naomba usichangie!.

Pasco.
 
Ndio nini hiyo? Fafanua basi kidogo mkuu wengine tuliishia kwenye za kata.
 
imeandikwa mwanadamu hawezi kutumikia mabwana wawili, lazima ajikanganye tu.

Mwenye sikio na asikie neno hili.

Ila kwa namna nyingine inalipa, nitaje taje hata kwa visivyo na mantiki ili nisisahaulike.

Strategy! Strategy! Strategy!
 
nani aliyemuambia au kumruhusu lowasa kujiuzulu?nauliza tu?
 
sorry kwa kukuingilia, haija haja ya kukopi lihabari lirefu afu unakoment line 2

inanikonfuzi msomaji 🙂

Ndio nini hiyo? Fafanua basi kidogo mkuu wengine tuliishia kwenye za kata.
 
Uwezo wa Lowassa kiuongozi ni mkubwa sana compared to kikwete anayeshindwa kufanya hata maamuzi madogomadogo!
 
halafu kule chit chat niliona wanawakondemu wanawake wanaotafuta vyeo kwa kuliwa minofu.

What's the difference?
Kutumika ni kutumika tu, it's going against your ways.

Pasco,
Lowassa amekupa nini Mkuu?
Unanifurahisha unapomfagilia.
Umeamua kuuza utu wako kwa bei gani aisee?
 
sijawahi kusikia kafanya maamuzi kama unajaribu kutushawishi ila hali ni mbaya maisha yanapanda kila siku na yeye yupo kwenye system miaka kibao
 
Angekuwa na nguvu asingejiuzulu.Mwenye nguvu ni JK aliyebaki madarakani.Ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, who is EL?

Hapa naona nitaambiwa sijui maana ya hiyo "power, command and capabilities"
 
Ni kweli ana nguvu sana; kwa wanaomuamini. Ni kama nguvu ya mganga wa kienyeji hivi. Mganga wa kienyeji anaweza kuwapa watu sababu ya kufuata masharti yake na kumsikiliza lakini nguvu ya dawa zake na maagizo yake yanategemea tu kama watu wanamuamini. Lakini usipomwamini yote anayoyafanya yanaonekana kama vichekesho fulani hivi. Fikiria wakati watu wengine wanaogopa kuchukua kibuyu kilichozungushwa hirizi kwa sababu wanaogopa anakuja mtu mwngine anachukua na kunywa maji kwa sababu alikuwa na kiu!
 
Niliposoma umepigwa ban asubuhi nilijua utakuja kivingine, japo nilikushauri kwenye thread yako fulani kukata rufaa.
Kon..sho
What happened mkuu?
Back to the topic, labda kama EL ana nguvu ndani ya chama, then pengine naweza kukubaliana na Pasco kwasababu chama ndo kinachoshika hatamu.
 
uwezo wa lowassa kiuongozi is too far compared to kikwete anayeshindwa kufanya hata maamuzi madogomadogo!

luwasa ni mjasiriamali mzuri sana. Pengine unazijua biashara zake. Na wajasiriamali wengi huwaga na uwezo mkubwa sana wa kuongoza. Tatizo ni hili neno 'kiasi.' luwasa si mtu wa kiasi. Fanya uchunguzi alikuwa anafanya nini kati ya 1985 hadi 1995. Kipindi cha mwinyi. Nani alikuwa waziri wa ardhi wakati wazungu wanagawiwa arizi za wamasai naberera, arusha, nani alikuwa waziri wa arizi wakati mzungu stein anakatiwa kata nzima aitumie kwa kilimo kule arusha. Luwasa tumpende tu kama binadamu mwenzetu na tumruhusu kuendelea na biashara zake kwa hizo hela alizopata kati ya 1985 na 1995. Basi. Urais wa tanzania tutakuwa tunatafuta janga. Luwasa ni mtu wa visasi, na hana kiasi.

Hivi katika watanzania milioni 40 na zaidi hakuna watu wengine mpaka tumng'ang'anie mtu ambaye nafasi ya kuongoza alishaipewa na kuitumia vibaya? Luwasa? Luwasa wa nini. Mimi namshauri atulie tu afanye hizo biashara zake za kufua nguo na hizo nyingine alizo nazo.

Watu wana rekodi za madudu yake ya zamani rundo. Atachafuka sana watu wakiamua kuanza. Hili la richimondi mbona dogo? Wala ata si ishu. Kuna madudu ya zamani yanatisha. Mshaurini luwasa aachane na siasa kulinda heshima yake ndogo iliyopo na ya familia yake.
 
Angekuwa na nguvu asingejiuzulu.Mwenye nguvu ni JK aliyebaki madarakani.Ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, who is EL?

Hapa naona nitaambiwa sijui maana ya hiyo "power, command and capabilities"
'

Hakika mwenye nguvu ni aliye madarakani mwenye uamuzi wa kuamua hatima ya mwenzie!!! sas huo kuwa EL anacapabilities na command zipi au hiyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambayo ni mwenye akili kacheza mchezo wa mchawi mpe mwana aleehe.
 
Back
Top Bottom