Wananchi wa Kata ya Nyatwali wapatao 15,800 wanahamishwa na Serikali kupisha ongezeko la Hifadhi ya Serengeti bila sababu za msingi.
Tayari makadirio ya fidia zao zimekwishakamilika bado tu...
Rais Samia ametuvunja moyo wengi. Nilikuwa chawa na shabiki wake kindakindaki!!
Nikiri tu kuwa mimi ni miongoni mwa watu waliokuwa shabiki nambari moja wa Mama Samia alipoingia madarakani...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51...
Wanaoliangamiza Taifa hili ni watawala wenye upeo duni. Nchi zinazoongozwa na watu wenye upeo mkubwa, kabla ya kuandaa sera, kutunga sheria na kupanga kodi, huainisha vipaumbele vyao.
Kisha...
umofia kwenu
Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe.
Mbeleko na kupoteza mwelekeo...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, Naomba kutoa ushauri wangu kwenye ushuru wa magari.
Nimeona ushuru wa magari unazidi kuongezeka, Mhe Rais/Waziri wa fedha dunia inabadilika...
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa.
Chadema mlimkosea sana Dr...
Ahmed Shabiby ameitaka Serikali kutafuta dola bila kujali watu watasema nini, Shabibi amesema ingekuwa ni yeye angekopa dola bilioni moja kukabiliana na uhaba wa dola nchini na kuziingiza kwenye...
Naona tangu itoke taarifa ya kunyofolewa kilemba cha ubalozi Dkt. Slaa wengi wamekuja na stori nyiingi kama kuna kosa kubwa limefanyika,
kama Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema hukupa uhai ikafikia...
Dr Wilbroad Slaa ni mpinzani wa siku nyingi, toka kuanzishwa siasa za vyama vingi. Dr Slaa ni kama yule mchezaji katika timu, si wa kutegemewa sana, lakini anaweza kutokea nyuma na kufunga goli la...
Za asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7...
Hayo ndio maneno ya VP Mpango wakati akitoa neno la salamu kwenye uapisho.
Awali Rais Samia alisema mabadiliko aliyoyafanya sio adhabu Bali kuongeza Ufanisi kwani ni mabadiliko ya kawaida.
----...
Nadhani tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Wajukuu zetu Watafukua Makaburi ya Viongozi wa CCM na kuwapiga Marungu kwa jinsi Uongozi wao ulivyoiangamiza...
Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa...
Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii...
Leo Dkt . Slaa amevuliwa hadhi ya Ubalozi na Rais wa JMT, Samia Suluhu. Dkt. Slaa anaingia katika orodha ya viongozi wengine waliovuliwa hadhi ya Ubalozi.
Katika kumbukumbu zangu nakumbuka...
Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni...
DIASPORA MLIOPATA URAIA WA NCHI ZA MAGHARIBI ACHENI KUICHAFUA TANZANIA
Anaandika Chigaitan kutoka KIVU DRC.
No, No, sisi sote ni Watanzania hatuna taifa jingine zaidi ya Tanzania, acheni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa uchungu mkubwa na kwa maumivu makali ya upendo kwa Watanzania, Rais Samia ameonyesha namna ambavyo hapendi kuona wala kusikia wala kukuta Watanzania wanyonge wakiteswa...