Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo.

Kwa nini hayati Julius Nyerere alikataa ubinafishaji ambao hauna tija kwa kila raia wa taifa letu? Alijua huu utakuwa ni upigaji na unyonyaji kwa raia wa kawaida ambao watakuwa wakiteseka huku ubinafishaji katika sekta kama madini na maeneo mengine ungenufaisisha wachache.

Dk Wilbroad anapambana kwa manufaa ya kila mtanzania. Hii ni sifa na tunu bora kuliko hata kuwa na hadhi ya ubalozi
image_search_1693681606082.jpg
 
Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo
Maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo.

View attachment 2737037
A hero or heroine is always patriotic. A time in history has arrived in which a player just play a lone in a football match of 11 players. I you blow a trumpet for a family member alleged an in-law this are dangerous cards. Sijui naota tu!
 
kuachwa ni kitu mbaya sana. Siku zote muacha au muachwa Lazima kadiri muda unavyokwenda kichwa inapata moto atakua anatia huruma na kuonekana amechoka sana. Hurumaeee......
 
A hero or heroine is always patriotic. A time in history has arrived in which a player just play a lone in a football match of 11 players. I you blow a trumpet for a family member alleged an in-law this are dangerous cards. Sijui naota tu!
Kama uzi ni kwa lugha ya kiswahili bora ujibu kwa kiswahili! Sio unatuletea vingereza vyako vya kwenye baa za kangare!
 
Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo
Maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo.

Kwa nini hayati Julius Nyerere alikataa ubinafishaji ambao hauna tija kwa kila raia wa taifa letu? Alijua huu utakuwa ni upigaji na unyonyaji kwa raia wa kawaida ambao watakuwa wakiteseka huku ubinafishaji katika sekta kama madini na maeneo mengine ungenufaisisha wachache.

Dk Wilbroad anapambana kwa manufaa ya kila mtanzania. Hii ni sifa na tunu bora kuliko hata kuwa na hadhi ya ubalozi
View attachment 2737037
Vipi Idugunde utahamia Chadema? Naona umewakomalia sana Dpw
 
Hata asipokuwa rais, kitendo chake cha kusimama imara kutetea raslimali zetu dhidi ya mafisadi wa ccm, ni kitendo cha kishujaa kinachopaswa kuungwa mkono na wapenda Tanzania 🇹🇿 wote.
Kusimamia rasilimali hadi kukosa ulaji ni kitendo cha kizalendo sana. Huko ccm ni wachache sana wenye ujasiri huo.
 
Back
Top Bottom